Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Naombeni mtujibu

Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.

Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.

1642105766056.png

Leo tar 24 March Chama cha wake wa wazee tumesajili member mpya
Ujumbe wangu mama mrema Achana na binadamu
Wanasema mchana usiku kila mtu analala kwake na majanga yake.
 
Back
Top Bottom