Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Ni wivu tuNaombeni mtujibu
Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.
Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.