Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

S wote wanaofuta mali, lkn pia hakuna aneyependa umasikini.

Mskae mkinyooshea watu vdole, upendo una nguvu zaid ya kifo. Ukijiona ww unafuata pesa n ww na s wote, weng n upendo wakweli unawavuta.

Kuna mbabu hapa jirani yetu ana miaka 98 na mkewe ana miaka 55 wako wanadunda, huyu babu hana hata pesa n maisha ya kawaida tuuu.
Kama ni upendo tu mbona hamuolewi na mababu wapiga kiwi wale😅 au mafundi viatu ama saa?
 
Kimsingi ni fuba tu! Vibabu kibao vifundi saa na washona viatu mijini humu mbona hatuoni ndoa hizo zikiwahusisha wao?
Utaskia Canal mstaafu...,mara gavana mstaafu au waziri mstaafu😅
Mnanyooshewa vidole kwasababu
1. Only wazee wenye mtonyo ndio mnachagua kuolewa nao

2.Wazee mafukara mnawaambiaga "ujana wako ukale wapi?" au " Nitakupeleka wapi na uzee huo?"

3.Tunaamini kibinadamu gari mbovu au iliyochoka haiwezi kuivuta gari nzima.

Finally tunaamini sio mapenzi ni mapesa tuu..
 
Naombeni mtujibu

Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.

Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.

Nami nashangaa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
sasa ndugu

mmefata hela ndio

kukjmbatia na kubusu makunyanzi unafikiri mchezo

bado na mechi za kizee.....
Hakuna anayependa shida duniani Hapo nawapa hongera kwa huo ujasiri mnakuwa mnazishika kabisa saggy Balls zenye mvi ili mzee apate stimulation

Mzee anakula mate na meno yake matatu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
sasa ndugu

mmefata hela ndio

kukjmbatia na kubusu makunyanzi unafikiri mchezo

bado na mechi za kizee.....

Umenifanya nimecheka kwa sauti kubwa sana bila kutegemea [emoji1787][emoji1787][emoji1787] baada ya kusoma ulichoandika!

Kwa kweli yataka moyo !
 
Naombeni mtujibu

Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.

Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.

Leo tar 24 March Chama cha wake wa wazee tumesajili member mpya
Ujumbe wangu mama mrema Achana na binadamu
Wanasema mchana usiku kila mtu analala kwake na majanga yake.
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima muoneshewe vidole huwa mnafata Fedha tuu sio lolote ww unaolewa na Mzee miiaka karibia 80 hivi Hapo kuna Mapenzi kweli tuulize Sisi tuliokulia pwani tukwambie yaliyomkuta Tour guide aliyeoa Bibi wamiaka sabini kule Kendwa - Zanzibar kwenye 6× 6 akipelekewa Moto kidogo anazima tunampeleka hospitali Bibi wawatu mwisho nilimwambia Yule Suka utamuaa Bibi wawatu kaenda mfia Ugerman huko *****.

Faida aliyopata Uraia na vimali kidogo huyu Jamaa sijui kama hajamuua Bibi wawatu Kwa hii njia dunia inavisa hii[emoji23][emoji23][emoji3]
 
Back
Top Bottom