FabNXTzqEtcgazfbjjfo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 1,486
- 1,874
Ndio maana Nasema Mnaolewa na Prado na HarrierKwani sie tuko kijijini? Walioko kijijini nao wanaolewa na walio huko kijijini. Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
Mfano mzuri ni mama wawili aka Miss Tanganyika. Kamsubiri mzee afe Arithi mali na zimemtokea Puani