Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
KwakweliMungu atusaidie watoto wakike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwakweliMungu atusaidie watoto wakike
Ila tu usisahau Akifikia stage ya kujikojolea au kuharisha usimkimbie babu yetu mlee tu kama bibi yetu alivyo kuwa akimleangoja nikatafute mbabu na mimi nitulize moyo
mchakamchaka na hawa wamachinga siwez[emoji1]
Mioyo yetu wanawake haijaumbwa kuvumilia stress, wa kuendana umri wengi wao ni pasua vichwaKwanini usichague mnayeendana umri?
Hakuna sababu ya msingi zaidi ya kufata Mali na urithi tuu,,Naombeni mtujibu
Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.
Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.
Leo tar 24 March Chama cha wake wa wazee tumesajili member mpya
Ujumbe wangu mama mrema Achana na binadamu
Wanasema mchana usiku kila mtu analala kwake na majanga yake.
Sasa wapi nimedharau haki za wengine wewe vipi mzee?
Anza na aliyeleta uzi kama ndio hivyo maana ulianza wewe kusema mzee ameoa kwa ajili ya uangalizi..!
Fuatilia Huyo Mzee alimuoaje huyo Binti wa miaka 55 sasa hvi. manaa Ndoa za Zamani zilikuwa za Kitafutiwa Mme au mke. Hawa wa Sasa Hivi Wanajipeleka Wenyewe.
nadhani ume overreact Sana Sina cha kuendelea kubishana na wewe mzeeHilo la uangalizi sio kauli yangu, nimeleta nukuu kama alivyosema yeye mwenyewe…. unaweza kusikiliza mahojiano yake.
BTW punguza makasiriko, Mzee yupo fungate saivi.
Ni wivu tu unawasumbua, watuache na vibabu vyetu tuvipeti peti.
Kuna ndoa ya kanali mstaafu mmiliki wa ilboru safari lodge Imefungwa juzi, sasa bibi harusi anamiaka 27 kanali ana miaka 78.Nimeshangaa sana wadau kumtakia maisha mema na mjukuu wake.
Wameshindwa kuvumulia na kumtambua bibi harusi kama mke halali.
Inaonyesha jamii inachukulia binti kuolewa na mtumzima atakuwa amefwata pesa. Ila siyo kweli kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya kuhoji hali ya kiuchumi ya maharusi.
S wote wanaofuta mali, lkn pia hakuna aneyependa umasikini.
Mskae mkinyooshea watu vdole, upendo una nguvu zaid ya kifo. Ukijiona ww unafuata pesa n ww na s wote, weng n upendo wakweli unawavuta.
Kuna mbabu hapa jirani yetu ana miaka 98 na mkewe ana miaka 55 wako wanadunda, huyu babu hana hata pesa n maisha ya kawaida tuuu.
Hata usipo olewa utasemwa, ukiolewa na kijana utasemwa pia hiyo ndio kazi ya mdomo ukiondoa kulaNaombeni mtujibu
Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.
Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.
Leo tar 24 March Chama cha wake wa wazee tumesajili member mpya
Ujumbe wangu mama mrema Achana na binadamu
Wanasema mchana usiku kila mtu analala kwake na majanga yake.
Itaruhusiwa tu endapo mtaanza kuolewa na wazee mahohehahe
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Naombeni mtujibu
Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.
Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.
Leo tar 24 March Chama cha wake wa wazee tumesajili member mpya
Ujumbe wangu mama mrema Achana na binadamu
Wanasema mchana usiku kila mtu analala kwake na majanga yake.
Kiuhalisia mzee hana Muonekano mzuri wa mvuto,hivyo na vile ngozi imekunjamana mara sijui anakohoa sana n.k. hata mm nakubali binti kafuata mafao tu kwa mzee. Alafu hizi ndoa kwa masikini huzioni akioa bint kama huyo ila pole kwa watoto wakubwa zaidi ya huyo binti maana sasa wanamwita mama huyoNaombeni mtujibu
Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.
Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.
Leo tar 24 March Chama cha wake wa wazee tumesajili member mpya
Ujumbe wangu mama mrema Achana na binadamu
Wanasema mchana usiku kila mtu analala kwake na majanga yake.
Kumbe sio kweli kwamba mnafuata pesa tu kwa Wazee,mnaitafuta amani ya moyo hamtaki stress.Mioyo yetu wanawake haijaumbwa kuvumilia stress, wa kuendana umri wengi wao ni pasua vichwa
Hatuwachuni bwana[emoji1787][emoji1787]Mnavipeti peti huku mnavichuna vibunda[emoji1787]