Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

ngoja nikatafute mbabu na mimi nitulize moyo

mchakamchaka na hawa wamachinga siwez[emoji1]
Ila tu usisahau Akifikia stage ya kujikojolea au kuharisha usimkimbie babu yetu mlee tu kama bibi yetu alivyo kuwa akimlea
 
Mpaka sasa kina dada 3-0
Yaani wazee tunacheka tu huku
Uzee na una senti kidogo raha sana hata kazi unaimudu [emoji23]
Warembo mtutetee hivyo hivyo tena kwa uzi huu naongeza mwingine, acha nijipe raha kifo kije nacheka
 
Haku Hakuna sababu ya msingi zaidi ya kufata Mali na urithi tuu,,
 
Sasa wapi nimedharau haki za wengine wewe vipi mzee?

Anza na aliyeleta uzi kama ndio hivyo maana ulianza wewe kusema mzee ameoa kwa ajili ya uangalizi..!

Hilo la uangalizi sio kauli yangu, nimeleta nukuu kama alivyosema yeye mwenyewe…. unaweza kusikiliza mahojiano yake.

BTW punguza makasiriko, Mzee yupo fungate saivi.
 
Fuatilia Huyo Mzee alimuoaje huyo Binti wa miaka 55 sasa hvi. manaa Ndoa za Zamani zilikuwa za Kitafutiwa Mme au mke. Hawa wa Sasa Hivi Wanajipeleka Wenyewe.

Kwan kujipeleka kwa mzee n kwamba unafuata mali!?

Lkn pia skatai kuna wanaofuta pesa, na pia kuna weny upendo wa dhati. Maaana kwny msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani.

Itoshe kusema yote yanawezekana, kulingana na mtu husika
 
Hilo la uangalizi sio kauli yangu, nimeleta nukuu kama alivyosema yeye mwenyewe…. unaweza kusikiliza mahojiano yake.

BTW punguza makasiriko, Mzee yupo fungate saivi.
nadhani ume overreact Sana Sina cha kuendelea kubishana na wewe mzee

Powa.
 
Haya we tuambie huwa mnafuataga nini???kama sio vibunda?
 

Hivi hata wewe na akili zako timamu tu,unahisi kuna mapenzi ya namna hiyo kweli!??mbona hawaolewi na wazee maskini
 

Hao wote ni wazee,95 na 55 all elders!!!
 
Hata usipo olewa utasemwa, ukiolewa na kijana utasemwa pia hiyo ndio kazi ya mdomo ukiondoa kula
 

Basi tutaanza kuwanyooshea nyume zetu[emoji12]badala ya vidole
 
Kiuhalisia mzee hana Muonekano mzuri wa mvuto,hivyo na vile ngozi imekunjamana mara sijui anakohoa sana n.k. hata mm nakubali binti kafuata mafao tu kwa mzee. Alafu hizi ndoa kwa masikini huzioni akioa bint kama huyo ila pole kwa watoto wakubwa zaidi ya huyo binti maana sasa wanamwita mama huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…