Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

Tatazo ni kwamba mnaolewa na wazee na bado hamtulii ni kazi ya kuangaika nje na vijana waziwashe moto mashine.. mwisho wa siku mzee anakujakugundua anamegewa mawazo yanazaa magonjwa mwisho kufa...ndo kitu mnapenda kwenye kipengele ..chama cha vijana kazi tunasesema msitumalizie wazee wetu..tunajua sana kama mnapenda shoo za kibabe.
 
Mnasimanga mabinti
Utadhani huku kwa vijana ni mbinguni...

Watu wazima bwn licha ya hela wana utulivu..
We mtu km Mrema au Mengi atakusaliti?.huna presha kabisaa and u dont hv to struggle to impress..

Ukibahatika hawa wa 50's,60's wana show kali nzurii tuu vijana wanasubiri plus mtu mtulivu sana anajua mapenzi ni nini anajua mwanamke ni nini...
Kila mtu ashinde mechi zake jmn
 
Umesahau na tabia yao moja ya ujambazi
 
Wala sio wanawake tu, hata wanaume wanaooa wazee nao wanapata shutuma hizo hizo.
 
Jamii inawachukulia kwamba ni vibaka tu.Gold-diggers!
 
Mnavipeti peti huku mnavichuna vibunda[emoji1787]
Hapo ndio advantage ya vibabu...

Ukiachana na kunuka uzee na kupambana na makunyanzi....

Hawana mambo mengi

Kimoja tu cha mashaka kinachotafuta wiki au mwezi mzima....kwisha

Hawahitaji shanga wala hawajali vitambi vya wake zao!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…