Ifike mahali mnaopinga masuala ya usawa kati ya mwanaume na mwanamke mjifunze kujenga hoja zenye mashiko.Anataka mshahara kama wa mmuwe ila wakati huo kwenye kulipa ada za watoto na kutimiza majukumu ya kifamilia anataka mme ayabebe peke yake hela yake ni yakufanyia mambo anayo yajua yeye.
Anataka afanye biashara kama mmewe ila mtaji wa kufanyia hiyo biashara anataka apewe na mumewe na si kuhaso kuutafuta.
Kiufupi mwanamke na mwanaume hawawezi kuwa sawa kila mtu kapewa majukumu yake kutokana na maumbile yake tuache tabia ya kujifanya tunajua kuliko mungu aliye tuumba.
Umemaliza yote! Huwa najiuliza sana hawa vijana wa jf wanakusanya wapi hizi taarifa zao? Mbona kwa uhalisia mambo ni tofauti sana huku nje! Watu tunakimbizana kama vichaa halafu mtu anakuja kusema unaleta 🐱 kwa meza😳Inawazisha sana🤔Ifike mahali mnaopinga masuala ya usawa kati ya mwanaume na mwanamke mjifunze kujenga hoja zenye mashiko.
Hivi kuna mwanamke mfano ni mwalimu atataka kulipwa mshahara sawa na mume wake ambaye ni Daktari Bingwa, Mwanasheria, Professor au Engineer?
Huwa mnapata wapi mawazo kwamba wanawake walioolewa na wenye vipato vyao binafsi huwa hawachangii na waume za kuendesha kuendesha familia zao? Wanawake mnaowaona wanakimbizana na makapu ya mboga asubuhi, wanakesha kufanya biashara masokini, mama ntilie, wanachuuza bidhaa stendi, wenye sugu za kulima n.k mnafikiri hizo pesa kidogo wanazopata ni kwa ajili ya make up na kuhonga hawara zao??
Tatizo lenu mkijizungusha na kuzinguana na vi-slay queens vichache mjini mnafikiri huo ndio uhalisia wa maisha makubwa ya raia wengi katika hii dunia.
Pamoja na hili nafikiri kwamba ishu ya usawa wa kijinsia ilipofika Africa ilieleweka kinyumenyume au haikueleweka vizuri hasa ni jambo gani linalengwa labda kwa sababu ya uduni wetu wa Elimu na maarifa.Umemaliza yote! Huwa najiuliza sana hawa vijana wa jf wanakusanya wapi hizi taarifa zao? Mbona kwa uhalisia mambo ni tofauti sana huku nje! Watu tunakimbizana kama vichaa halafu mtu anakuja kusema unaleta 🐱 kwa meza😳Inawazisha sana🤔
Kumbe huwa wanaokotana kitambaa kuja kulinganisha na wanawake wa dunia nzima😫
Kuhusu mwanamke kuchangia majukumu ya familia ni hiyari yake na utashi wake alio nao ila habanwi na sheria yeyote ana weza akaacha na asifanywe chochote lakini kwa mwanaume anabanwa na sheria.Ifike mahali mnaopinga masuala ya usawa kati ya mwanaume na mwanamke mjifunze kujenga hoja zenye mashiko.
Hivi kuna mwanamke mfano ni mwalimu atataka kulipwa mshahara sawa na mume wake ambaye ni Daktari Bingwa, Mwanasheria, Professor au Engineer?
Huwa mnapata wapi mawazo kwamba wanawake walioolewa na wenye vipato vyao binafsi huwa hawachangii na waume za kuendesha kuendesha familia zao? Wanawake mnaowaona wanakimbizana na makapu ya mboga asubuhi, wanakesha kufanya biashara masokini, mama ntilie, wanachuuza bidhaa stendi, wenye sugu za kulima n.k mnafikiri hizo pesa kidogo wanazopata ni kwa ajili ya make up na kuhonga hawara zao??
Tatizo lenu mkijizungusha na kuzinguana na vi-slay queens vichache mjini mnafikiri huo ndio uhalisia wa maisha makubwa ya raia wengi katika hii dunia.
Unaweza kuthibitisha haya majukumu ya mwanamke na mwanaume walipewa na Mungu na sio Evolution??Kuhusu mwanamke kuchangia majukumu ya familia ni hiyari yake na utashi wake alio nao ila habanwi na sheria yeyote ana weza akaacha na asifanywe chochote lakini kwa mwanaume anabanwa na sheria.
Usawa hauwezi kuwepo kati mwanaume na mwanamke kwa sababu hata kimaumbile hamko sawa acheni ujuaji wa kijinga.
Kama mungu angetaka mwanaume awe sawa na mwanamke basi angemfanya abebe mimba,apate hedhi,anyonyeshe,awe mwili mlaini kama mwanamke.
Mfano kwenye kuendeleza kizazi ni lazima mwanamke na mwanaume washirikiane ndo waweze kuleta mtoto duniani lakini ukiangalia katika jukumu hilo kila mtu amepewa jukumu lake, mwanaume kazi yake ni kumwaga mbegu tena kwa kupata starehe ndani ya dakika 3 tu, lakini mwanamke amepewa jukumu la miezi 9 iliyo jaa mateso na bado amepewa jukumu la kumsukuma huyo mtoto kutoka tumboni zoezi ambalo ni chungu kuliko kitu chochote duniani lakini bado akapewa jukumu la kumnyonyosha huyo mtoto miaka 2.
Huo mfano niliyo toa ni dhihirisho tosha kuwa mwana mke na mwanaume hawawezi kuwa sawa kimajukumu kwa namna yeyote ile hata mngerazimishaje.
Lakini suala la mwanamke kuchangia maendeleo ya familia ipo kwenye utashi wa mwanamke binafsi na si kisheria hivyo ana uhuru wa kufanya au kuacha hilo ndo tatizo.Umemaliza yote! Huwa najiuliza sana hawa vijana wa jf wanakusanya wapi hizi taarifa zao? Mbona kwa uhalisia mambo ni tofauti sana huku nje! Watu tunakimbizana kama vichaa halafu mtu anakuja kusema unaleta 🐱 kwa meza😳Inawazisha sana🤔
Kumbe huwa wanaokotana kitambaa kuja kulinganisha na wanawake wa dunia nzima😫
Kwa hiyo Evolution ndo iliyo mpa mwanamke jukumu la kuzaa badala ya mwanaume?Unaweza kuthibitisha haya majakumu ya mwanamke na mwanaume walipewa na Mungu na sio Evolution??
Equal rights click with equal responsibilities lakini to make it fair game lazima muangalie vipato vyenu na mgawanyo wa majukumu ya nyumbani. Majukumu ya nyumbani ya akina mama ni mengi mno hivyo mwanaume lazima u-compensate kwa kuwa ndiyo mmwaga kibunda(💰) ili mambo yaende, projects kubwa za familia huwa ni jukumu la mwanaume yaani majukumu kama hayo(big projects) mwanaume kuanza kulilia eti mchangie na mkeo si uanaume.Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani
Shame!!
Na ukiwaeleza hawatokaa wakakuelewa wamebeba nadharia zao mbalilmbali zinazoendana na kudanga au kuchuna wanaume! Hawajui hiyo ilitokana na ukandamizaji uliotokea hapo kale enzi za mambabu, ikaanzishwa movement ili kusaidia wanawake! Mwanamke alionekana kiumbe duni asiye na maamuzi hivyo wakamnyima uhuru wa kupata elimu, kuongoza au kusimama na kuongea mbele ya wanaume! Hakupewa uhuru wa kufanya maamuzi katika jamii yake alipangiwa mpaka muda wa kuolewa! Wakati kwa mwanaume haikuwa hivyo!Pamoja na hili nafikiri kwamba ishu ya usawa wa kijinsia ilipofika Africa ilieleweka kinyumenyume au haikueleweka vizuri hasa ni jambo gani linalengwa labda kwa sababu ya uduni wetu wa Elimu na maarifa.
Watu wengi waliposikia usawa wa kijinsia walifikiri ndio hayo mambo ya kulipa bills/mahitaji ya familia sawa, kugawawanya kazi/ajira sawa nusu kwa nusu n.k Watawala nao waliharibu zaidi baada ya kutumia hiyo kama fursa ya kupachika wanawake tu katika nafasi za utawala mfano viti maalumu kwa ajenda zao binafsi.
Wengi hawakuelewa ajenda ya usawa hasa ilikuwa ni kuondoa ubaguzi, ukandamizaji na violence dhidi ya wanawake, kwamba watoto wa kike waruhusiwe kwenda shule na wawezeshwe kupata muda sawa wa kusoma na wale wa kiume ili hata upimaji katika mitihani uwe na uhalisia, kwamba wanawake wanapoenda kuomba ajira wasinyimwe kwa kigezo cha jinsia kama wanakidhi vigezo vingine
Hayo mambo sijui ya nani analisha familia zaidi na hata huo msemo wa 50/50 ni ujinga mtupu uliotokana na kushindwa kuelewa dhana nzima na lengo kuu.
Acha ujinga, hakuna Sheria inayolazimisha mwanaume kufanya maendeleo katika familia. Sheria zipo zinazomtaka mzazi yoyote awe wa kiume au wa kike kuhudumia watoto wake mahitaji ya msingi kulingana na kipato chake na kama haishi na mtoto.Lakini suala la mwanamke kuchangia maendeleo ya familia ipo kwenye utashi wa mwanamke binafsi na si kisheria hivyo ana uhuru wa kufanya au kuacha hilo ndo tatizo.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya tz jukumu la kutunza familia ni la mwanaume mwanamke akitoa ni amependa na ndio maana hakuna mwanamke ambaye alisha wahi kushitakiwa kwa kutotunza familia.Acha ujinga, hakuna Sheria inayolazimisha mwanaume kufanya maendeleo katika familia. Sheria zipo zinazomtaka mzazi yoyote awe wa kiume au wa kike kuhudumia watoto wake mahitaji ya msingi kulingana na kipato chake na kama haishi na mtoto.
Leta hapa kifungu cha Sheria ya ndoa kinachosema hivyo.Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya tz jukumu la kutunza familia ni la mwanaume mwanamke akitoa ni amependa na ndio maana hakuna mwanamke ambaye alisha wahi kushitakiwa kwa kutotunza familia.
Hakuna 50/50 kati ya mwanamke na mwanaume kila mtu ana majukumu yake katika kuendeleza kizazi na maendeleo ya dunia.Na ukiwaeleza hawatokaa wakakuelewa wamebeba nadharia zao mbalilmbali zinazoendana na kudanga au kuchuna wanaume! Hawajui hiyo ilitokana na ukandamizaji uliotokea hapo kale enzi za mambabu, ikaanzishwa movement ili kusaidia wanawake! Mwanamke alionekana kiumbe duni asiye na maamuzi hivyo wakamnyima uhuru wa kupata elimu, kuongoza au kusimama na kuongea mbele ya wanaume! Hakupewa uhuru wa kufanya maamuzi katika jamii yake alipangiwa mpaka muda wa kuolewa! Wakati kwa mwanaume haikuwa hivyo!
Hii zama ya mamboleo 50/50 imekuwa kama toa nitoe, lipa ada nilipe kodi, cheat nikucheat, ukirudi saa 8 narudi asubuhi! Ukizingua n-kuzingua which is very wrong na mitandao inaharibu sana watu wenye fukra finyu wakati deep down vitu kwa ground ni totally different!
Natafuta Ajira msome mwanaume mwenzio hapo juu uelewe maana ya 50/50 na sio kuwaita watu simp!
Wanaume wangapi uliwahi kusikia wameenda kushitaki police wamebakwa au wamepigwa na wanawake?Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya tz jukumu la kutunza familia ni la mwanaume mwanamke akitoa ni amependa na ndio maana hakuna mwanamke ambaye alisha wahi kushitakiwa kwa kutotunza familia.
Unaona sasa unavyoropoka mambo ya hovyo hovyo, haya ndio yale mambo niliyosema mwanzo kwamba suala la usawa wa kijinsia halikueleweka kabisa Africa. Sasa nchi au taasisi kuwa na Marais wawili inahusiana vipi na usawa wa kijinsia?!Hakuna 50/50 kati ya mwanamke na mwanaume kila mtu ana majukumu yake katika kuendeleza kizazi na maendeleo ya dunia.
Alafu tasisi yeyote ni lazima iwe na kiongozi hivyo taasisi ya familia kiongozi wake ni mwanaume.
Hakuna taasisi au nchi yenye maraisi wawili.
Ewaaah🤗Hakuna 50/50 kati ya mwanamke na mwanaume kila mtu ana majukumu yake katika kuendeleza kizazi na maendeleo ya dunia.
Alafu tasisi yeyote ni lazima iwe na kiongozi hivyo taasisi ya familia kiongozi wake ni mwanaume.
Hakuna taasisi au nchi yenye maraisi wawili.
Acha ubishi kwenye sheria ya ndoa mwenye jukumu la kutunza familia ni mwanaume tu na ndio maana mtoto akishindwa kwenda shule kwa kukosa ada hatafutwi mama yake bali anafuatwa baba yake.Leta hapa kifungu cha Sheria ya ndoa kinachosema hivyo.
Hivi tafsiri ya 50/50 si inamaana haki sawa kwa wote ?sasa kwa nini hiyo haki sawa iwe kwenye mambo mazuri tu lakini kwenye mambo ya uwajibikaji hiyo 50 /50 haipo?Unaona sasa unavyoropoka mambo ya hovyo hovyo, haya ndio yale mambo niliyosema mwanzo kwamba suala la usawa wa kijinsia halikueleweka kabisa Africa. Sasa nchi au taasisi kuwa na Marais wawili inahusiana vipi na usawa wa kijinsia?!