Kwanini wanawake wa Sasa wanapenda utawala 50/50 wakati huo wanataka kuhudumiwa?

Hao wenyewe wazungu walio anzisha hiyo movement wenyewe hawaielewi ndio,ndio imewavuruga mpaka sasa ndoa zimedrop, Single mother wameongezeka stability kwenye familia hakuna, jamii yao imeendelea kwenye maswala ya Kisayansi ila kijamii inapotea.

Labda wewe Genius uwaeleweshe vijana dhana ya 50/50,ila mzungu mwenyewe imemvuruga na haielewi.
 
Dhana ya kutunza familia ni finyu sana kwako.
 
Nani amekuambia ndoa ku drop, kuoana hata mara tano, step mothers, step fathers na single mothers ni mambo yanayowasumbua au kuwaumiza vichwa Wazungu??
 
Twende tukaoe Taliban Mzee wangu kule wameruhusu kuwachapa mpaka fimbo wakileta hizo 50 50 ni kipigo ila tu wasivunjwe kwa hio unagonga nakoz safi ila usimvunje sheria imeishia hapo

Ila Kiongozi wa Taliban amepinda
Huwezi mkandamiza mwanamke kwa
miongo walau mmoja na akabaki vile vile, atakulisha sumu ukufilie mbali since hawezi kukupiga/kukuvunja.

Watu walioleta usawa wa kijinsia/demokrasia wana akili nyingi sana kuliko wanaohubiri kinyume chake.

Binadamu ni mnyama wa mabadiliko!
 
Kwa hio atakunywesha sumu ufe sababu ya nini kumnyoosha? Mfano wewe hapo nikunyooshe utaniua?
 
Nani amekuambia ndoa ku drop, kuoana hata mara tano, step mothers, step fathers na single mothers ni mambo yanayowasumbua au kuwaumiza vichwa Wazungu??
Kama ilivyo ngumu kwa wanawake kuwa accountable, ndivyo vivo hivyo ilivo ngumu kwa wananaume kujua uhalisia ninini, Wamejitengenezea vijimambo vyao ndio wanaviita uhalisia 😀 Kuprove hili waulize tena lile swali letu maarufu “Huku mitaani hawa wamama/ wanawake wanaopambana hela wanapeleka wapi?

Mimi nikiwa kwenye mijadala ya namna hii huwa nafahamu hili kama weakness ya kila gender.
 
Nani amekuambia ndoa ku drop, kuoana hata mara tano, step mothers, step fathers na single mothers ni mambo yanayowasumbua au kuwaumiza vichwa Wazungu??
Sasa husikii huko hata birth rate imepungua? Wewe unazani moja ya sababu ya berth rate kupungua ni nini? Mbona nchi kibao zinalaamika kiwango za watu kuzaliana kimepungua na moja ya sababu ni ndoa zisizo imara. Sasa wangekuwa hawaumizi vichwa wangelalamika ,watu kupungua kuzaliana maana ina impact kwenye uchumi wao sababu ya nguvu kazi itapungua.

Japan.



Ukubali ukatae hizi movement za haki sawa haijalishi mzungu au Muafrika, impact yake ni kubwa sana kwenye jamii ni ngumu kuiona kwa macho sababu, inakuja polepole sema mataifa mengi hawa kuishtukia mwanzoni,ila sasa hivi wameshtuka ,wakati ideology imeshatawala vichwa vya wanawake na wanaume hawataki kuoa.Hata hao wazungu siku hizi kuna kundi Ulaya/US linaitwa Passport Bros linakuwa kwa kasi hawa ni wanaume wanaopenda kuoa ,wanawake ambao bado wanaishi kwenye ile misingi na asili ya jinsia ya kike na wanaoprefer kuoa Thailand, Malaysia, Philippines, Asia na baadhi ya nchi za America kusini nk.

Ndio maana nikamwambia hata hao wazungu hawaielewei 50/50,wewe uliye sema "VIJANA HAWAIELEWI DHANA 50/50 ...." waeleweshe wailewe kama wewe.
 
Suala la liability ni finyu sana kwako.

Unajua kwa kiasi gani wanaume ni liability? na unajua inatakiwa iweje mwanaume asiwe liability? Kwahivyo nakwambia kwenye mahusiano/ndoa kila mtu ni liability kwa mwenzie, Tatizo huwa mnapima liability kwa kuihusisha na pesa tu.

Unfortunately women wanafanya emotional & mental labor + physically labour, They are baby making machines, unpaid therapists and sex dummies , mtu kama huyu unamuitaje liability….?
 
Ndio inakutawala wewe na ukoo wako wa kiume wooooote, kama ni rijali kamili utaijua nguvu ya K kama ni mchicha mwiba lazima uidharau maana hujui thamani wala utamu wake... nilishakwambia pata kazi kwanza uishike hela ndio utaacha makasiriko kwa wanawake, wanawake hua hawaendi kwa wanaume makapuku ndio shida hiyo inapoanzia
 
Kama ambavyo ungewafanya wale wa talibani .
Ukiwa umevua ndio utanikumbatia lakini baada ya hapo unaanza kuchezea fimbo tena inabidi uinamishe mgongo na ubong'oe km unapuliza moto wa kuni kwenye jiko la mafiga matatu ili fimbo ikuingie vizuri
 
Tatizo mnapenda wanawake wenye mambo mengi mnawaita slay queens mtu Hana kazi mjini hauzi hata nyanya mnataka wale ambao muda wote yupo na kope machoni kucha mikononi sijui kavaa nguo nusu uchi

Hao mnaowataka hawajuag kujihudumua wanajiona ni special sana na akipata mwanaume kazi yake ni kumuhudumia yeye
Unakuja humu kupiga kelele kwakua umetongoza mashauzi huko asiyejua kuuza hata ndala mtandaoni huyo hela Hana ndo maana anakuomba hela ya ped anachojua yeye unapotaka kulala naye basi na huduma za pesa umpe
 
Una point umeongea
 
Mahusiano ni liability kwa mwanaume.
 
Hauna akili
 
Mahusiano ni liability kwa mwanaume.
Vitu vyote ambavyo havina faida mwanaume hafanyi, chukua hii weka mfukoni. Wao ndio wanao initiate mahusiano na wanajua yanawapa faida gani.

Ndio maana ni vigumu wanaume kushawishiwa sababu kikawaida mind zao zinapima faida na hasara kwenye kila kitu.

Hauko tayari kwa huu mjadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…