Wanataka kuonekana wa kishuaBia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu.
Mimi nilikuwa nafikiria Hanson choice inatoka south kumbe inatengenezwa hapo tu shinyangaMkuu kwani kuna mahala Sheria au Katiba ya nchi inawataka wanywe local beer?..
swali lako ni sawa nakuwauliza wanaokunywa Jack Daniels, Hennessy nk ilihali kuna Konyagi na K--vart.
ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
Hasa wanaponunuliwa.Bia za Tanzania sio tamu au shida ni nini mpaka kupendelea sana bia za nje ya nchi?
Au ni ulimbukeni tu??
Hii zaidi iko kwa wanawake ambao wanajiona wa hadhi ya juu.
Hapahapa shytownMimi nilikuwa nafikiria Hanson choice inatoka south kumbe inatengenezwa hapo tu shinyanga
Oya Amsterdam zile navigator zinapatikana wapi za kwenye cane maan nilishainywa x1 tu na sijawahi Iona Tena ni 1 ya bia nzuri sana zipo wapi mi niagizeMbona ilikua zamani sikuhizi amstadam na vindok zinafyatuka hapa hapa.🤣🤣🤣 Usihadaike mwaego
Wewe uko wapi? Nenda By laws Arusha pale.Oya Amsterdam zile navigator zinapatikana wapi za kwenye cane maan nilishainywa x1 tu na sijawahi Iona Tena ni 1 ya bia nzuri sana zipo wapi mi niagiz