Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

Ulimbukeni tu mkuu wangu, Hivi kuna bia Tamu kama safari ila iwe ya baridii mkuu, Kuna manzi mmoja aliniletea pigo et anakunhwa Heinekein tu nilimuagizia moja nikapiga faster faster nikamwambia naenda washroom mara moja nikasepa jumlajumla
 
!!
 
Attachments

  • IMG_20250809_214328_904.jpg
    198.7 KB · Views: 24
Cc cocastic Madame B
 
Nilikutan na 1 et anakunywa hiz nikamwambia km hunyw wine bas sina hel ya kununua Hz, et ooh wine inanichukuag nikamwambia unakunywa ili ulewe au unakunywa ili ujaze tumbo mbona alikubali nilitumia tu buku 8 kwenye wine akawa kashawaka tukaamsha😂🙌 mapema geto
 
ha ha ha,ukiwaalika unawaambia waziwazi kuwa ofa yako ni bia za tanzania tu
 
Wameanza kurudi nyumbani kwa kasi sana toka wagundue ujinga wanaoupenda unapatikana kwa wingi kwenye kile kinywaji ambacho kindengereko chake ni "Samaki anayepaa", nyie mliopita kwa Ras Simba huwa mnasema "Flying Fish"
 
Ina nini kwani? Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…