Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

Sio wanapenda bia hizo, wanakupima uwezo wako.
 
we wanunulie bavaria 8.8 sijui bado ipo hii ni kali kuliko bingwa na imeiva kisawasawa enzi zangu ilikuwa kiroba kimoja mixer hio chaliiii
 
Bia za nje zinakisisimua kiulimi kuliko za hapa kinanwea.
 
Kuna binti huko Katavi aliagiza CINZANO ROSSO wakati namfaham tunatoka Kijiji kimoja😎
 
Wanataftiza stori za kupiga so wanapenda waseme nilikunywa bia flani au kinywaji flani chenye jina tofauti lakini all in all ni ushamba na umaskini unawasumbua tu , beer just a beer end product ya bia ni the same kunywa hata bia bingwa
 
bia zetu sijui wanatengeneza kwa mahindi na mtama zina harufu ka kimpumu au kangala
 
Ni kujishaua tu.
Mimi kuna mmoja mpaka nimeanza kumkwepa,yeye eti hanywi bia inayotengenezwa na ngano,kuna mabia gani sijui yanatengenezwa na matunda yanatoka nje huko yanaitwa brutal fruit,bia moja elfu 5.nikiwa na pesa za dili ndo huwa namualika..vinginevyo bora nijinywee balimi zangu tu mwenyewe.
 
Ushamba, mademu wa Kibongo uwajuwi kwa ushamba, nafikiri wao ndio wanaongoza hapa Afrika kwa ushamba.
 
washenzi tu, kuna mwingine alisema hanywi castle lite ya chupa, nikamwagizia ya kopo carton kanywa kopo mbili hoi, ila hizi za sikuhizi mbona ka pombe za kienyeji,
 
Ila mada za yoda hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…