Kwanini wanawake wa Tanzania wanapenda sana bia za nje ya nchi?

Hazina hangover za kishamba bana ondoeni negativity kunywa beer ya elfu 5 kuna ushua gani hapo😅
Kama huna pesa ya kujinunulia bia mwenye kunywa Safari, Serengeti na Kilimanjaro, acheni mambo ya kuachia sijui Heineken, Windhoek, Savannah na Bruto kwa pesa za watu.
 
Kama huna pesa ya kujinunulia bia mwenye kunywa Safari, Serengeti na Kilimanjaro, acheni mambo ya kuachia sijui Heineken, Windhoek, Savannah na Bruto kwa pesa za watu.
Binafsi nakunywa whiskey.. na sitegemei pesa ya mtu ndio nilewe or else nimepata mualiko wa kujiachia🤸🏽‍♀️
 
Kuna vinywaji anayenunua hanywi na anaekunywa hanunui
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…