Kwanini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Kijana nani kakwambia hadith ni porojo? hadithi ni maelekezo ya mtume kwa waumini, mwanamke hawezi kubeba jeneza wala kuingia ndani ya kaburi, ila anaweza kukaa pembeni kwa utulivu wakati wa kuzika
Hayo Maelekezo yaliandikwa baada ya miaka mingapi tangu kufariki kwa mtume? Ukijipa muda wa kutumia akili utakuwa umeshaelewa.
 
Hayo Maelekezo yaliandikwa baada ya miaka mingapi tangu kufariki kwa mtume? Ukijipa muda wa kutumia akili utakuwa umeshaelewa.
Shida iko wapi hapo? elimu sio jambo la kupotea ghafla watu wanarithisha vizazi na vizazi, wengine wanaandika kwenye mawe n.k, ndio maana Waroma waliikusanya Biblia wakati wala hawausiki nayo na tunasoma hapa mpaka leo, japo wale wengine walikuja na kupunguza vile 6, lakini waroma hawajali wanaendelea kuvitumia
 
Acha bangi wewe,hizo dini zenu zinazowapa mnaosema Uhuru wanawake ndio hizo zimewaletea umalaya na udangaji halafu nyinyi mnakuja kulalamika
 
Watu waheshimu imani za wengine. Mnaotaka kujua kwanini wanawake hawaruhusiwi makaburini kwenye uislamu jiungeni na uislamu ili mjifunze.

Mna uzombi kuzidi hata Waarabu waliobuni hiyo dini.
 
Acha bangi wewe,hizo dini zenu zinazowapa mnaosema Uhuru wanawake ndio hizo zimewaletea umalaya na udangaji halafu nyinyi mnakuja kulalamika
Wanawake.waislamu wavaa hijabu hawadangi? Acha unafiki wewe.

Uliza sehemu zenye waislamu wengi za mikoa ya Pwani yote kuanzia Tanga hadi mtwara .Na hijabu zao wanadanga,pombe wanakunywa na kitimoto wanakula na umalqya kama kawa tena kuwazidi hata wakristo

Ukimsalimia tu na hijabu lake dada hujambo anakwambia sijamb9 nakusikiliza unasemaje funguka nakusikiliza
 
Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?

Ni mfumodume wa kuwa infantilize wanawake.

Kuwafanya wanawake kama watoto wachanga.

Hizi mila zinapitwa na wakati na watu wanazipotezea tu.
 
Bangi mbaya we kijana wa Pdiddy
 
Sasa mtu anamuweka Kumbuka, Dotto, kwenye kundi la wanaume
Juma Lokole, Kumbuka na Dotto wote wanaonekana kuwa na maumbile ya kiume, watabaki hivyo mpaka itakapothibitishwa vinginevyo.
 
Kwahiyo mashehe watawatamani huko makaburini? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…