Mbona unaniquote na kuuliza maswali yasiyohusiana na comment yangu?Kwani lazima kila kitu anacho fanya mwanaume na mwanamke afanye? Mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700 ebu tuambie ni mwanamke gani alikuwa na wanaume hata 100 kwenye biblia? unaleta mambo ya mtaani hapa JF
Kila dini ina sheria na taratibu zake ndugu.Je na kukamuliwa kinyesi kitoke ikoje??!!
Na wakati huo mandiko yao yanakuambia pepo ya mwaume iko kwenye unyayo wa mwanamkeKwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao?
Yule anayevaa chupi ..au miniskirt na kuacha maumbile yake nje .. wanaume wafurahie .. kwako wewe huyu yupo huru na sio object for men.. ila anyevaa stara wewe unashida naye kwamba hayupo huru sababu anajificha wanaume wasione akiwa uchiKwani wakienda kuna hatari/physical consequences or to put it in a religious perspective, moral consequences gani zitatokea?
Uislam uko very conservative, extremely conservative! Unawaona wanawake as OBJECTS of men!
(nitakao wakwaza naomba radhi for my observation)
Mimi sio mwislamu ila ninawaunga mkono kwenye taratibu zao. Wanawake wa kiislamu wenyewe hawalalamiki wewe una kiherehere gani?Nyoe mna mila kandamizi sanaa.Waheshimuni wanawake wenu
Kwani wakienda kuna hatari/physical consequences or to put it in a religious perspective, moral consequences gani zitatokea?
Uislam uko very conservative, extremely conservative! Unawaona wanawake as OBJECTS of men!
(nitakao wakwaza naomba radhi for my observation)
Kuvaa stara ndio kuvaaje??Yule anayevaa chupi ..au miniskirt na kuacha maumbile yake nje .. wanaume wafurahie .. kwako wewe huyu yupo huru na sio object for men.. ila anyevaa stara wewe unashida naye kwamba hayupo huru sababu anajificha wanaume wasione akiwa uchi
Mimi ni mwana- jogorafia.Wewe jamaa mchawi nini 🤣
unaanza kulalamika tena badala ya kujibuMbona unaniquote na kuuliza maswali yasiyohusiana na comment yangu?
🤣Sijui hayo..Ndio kama ambavyo Yesu akisema nukta
🤣Aliyeweka Sheria ni muddy.. kama muddy kaumba wanawake sawa?Hatari ipo kubwa sana. Katika viumbe ambao ni wepesi sana kuchupa mipaka ni Wanawake, kadhalika wepesi kujizuia ni wao.
Kwahiyo dini imekataza wao wasiende kwa sababu hiyo na nyinginezo za kimaslahi.
Uislamu upo makini sana, na ni dini ambayo inaangalia sana maslahi kuliko ufisadi. Aliyeweka hiyo Sheria anawajua zaidi Wanawake kuliko Mimi na wewe sababu ameaumba yeye.
Kwa ufupi dini ya kiislamu Iko mbele ya akili zetu mzee, pindi utakapo tafakari ndio utaona uzuri wa Sheria zake.
Kuna huyu wa western world anavaa kwa vile ametaka, MY BODY MY RIGHT! lakini huyu wa arabuni anavaa kwa vile ni lazima,MTUME AMEAMRISHA akikaidi anapigwa mawe na WANAUME anakufa\ANAPIGWA VIBOKO NA WANAUME. Do you see the difference?ila anyevaa stara wewe unashida naye kwamba hayupo huru sababu anajificha wanaume wasione akiwa uchi
Mwanaume ni KIONGOZI WA MWANAMKE. Hao wakienda kule wataanza kulia lia na kufanya maziko kuwa magumu. Hawana mioyo migumu.ndo maana wanapumzishwa.Ndio
Mbona hapa ni kama shambani, na hilo shimo labda kwa matumizi ya shamba. Au ndio kaburi la marehemu ambaye aliomba azikiwe shambani kwake? Au hao wanawake ni wafanyakazi wa corona?Hapa wapi?View attachment 3118397
Huyo jamaa hapo ni mnyapara au anashangaa?Jibu hili hapaView attachment 3118372