Kwa nini wanawake Waislamu hawaruhusiwi kushiriki shughuli muhimu za maziko kama hata kwenda makaburini kuzika wapendwa wao ?
View attachment 3118314
Nimekuelewa vizuri nowPorojo tupu za watu hizo, hakuna hata aya moja ya Qur'an iliyokataza.
Hadith haiwezi kukataza kitu au kuruhusu kitu ambacho Qur'an imekikataza au kukiruhusu.Msingi WA Sheria katika uislamu ni
1. Qur an
2. Hadith
Kwahiyo kuna mambo ambayo yapo direct kwenye Qur an na mengine yanapatikana kwenye Hadith.
Pia kumbuka katika kila muktadha wa elimu kuna wabobovu wa elimu husika.Kwa mtazamo wangu si busara kuita wasomi wabobovu watoa porojo kwani katika Kila nyanja ya elimu Kuna watu walijitoa kutoa ufafanuzi wa elimu husika.
Huyo Sheikh alimaindi baada ya majirani wa Dida kugoma kwenda kuagia makaburini wakisema kwamba kwa nini hajapelekwa nyumbani kwake alikokuwa anaishi akaagwe kwa mara ya mwisho?
Walichofanya hao majirani, na wao wakaenda huko huko makaburini, wanaume kwa wanawake.
Sasa kama wao waliweka ratiba ya kuagia iwe makaburini walitegemea mashoga zake wasiende makaburini kwenda kuaga?
Badala ya kubwata na wanawake walioenda makaburini kuaga, wangedili na walioandaa ratiba ya mazishi.
View attachment 3118369
View attachment 3118370
Ukweli Quran haijakataza bali ni tafsiri mbovu tu. Kwa uchache iko hivi:-Kama ndivyo watakuwa wanakosea sana mkuu!
Dida ni public figure huko Daslam,Inasikitisha sana.
Yoda kwa mtaji huu uzi wako umekosa thamani ya kwanini umemhusisha Dida (RIP) kwenye kadhia hii ya maziko yake?
Ungehitaji kujua kwa nini wanawake waislam hawaendi msibani hilo si ungeuliza bayana tu? Kulikoni kuihusisha Hilo maziko ya Dida ambayo kumbe yana vionjo vya infringement ya privacy ya maziko yake kuihusisha familia?
Ama kwa hakika, kumbe uzi huu ulipaswa kushia hapa. Kongole Kingsmann kwa uthabiti wa hoja yako.
"Kwamba mleta mada Kwa kujua au vinginevyo umeendeleza kuchochea infringement ya privacy ya mja huyu, na Mod wako kimya?"
Huku si ndiyo kulidogosha jukwaa hili kuwa kama yale mengine?
Ushauri wa bure Mod kulikoni kuwa accomplice? Kulikoni marehemu asiachwe kupumzika?
Kulikoni mada ya wanawake na maziko isitenganishwe na sokomoko mazikoni kwa marehemu huyu?.
Dida ni public figure huko Daslam,
Hatutaki kujiunga ila tunataka kujua why !!?? Kwa nn??Watu waheshimu imani za wengine. Mnaotaka kujua kwanini wanawake hawaruhusiwi makaburini kwenye uislamu jiungeni na uislamu ili mjifunze.
Kimsingi mwanamke amekatazwa kuzika. Makatazo haya ni makatazo ya ukaraha si makatazo ya uharamu wa kupata dhambi ijapokuwa makuruhu (ukaraha) unaweza kukupelekea ukapata dhambi.Mkuu hakuna ambaye aheshimu dini ya mtu!
Nadhani ni vizuri kama unamajibu uyaweke hapa ili na wengine tujifunze!
Ukiangalia wanawake wengi wa Kiislam huwa wanalalamika sana kunyimwa fursa za kuwasindikiza Wapendwa wao makaburini ili nao wakashuhudie wakizikwa!,sidhani kama ni vibaya!
Ndiyo maana jamaa alitaka kujua ni kwanini Dini ya Islam hairuhusu mwanamke kwenda Makaburini?
Je,Aya za maandiko ya Quran zinasemaje kuhusu hilo?,Je unaweza ukaweka hapa Aya kadhaa ili tusome sote tujifunze?
Ina wahusu wavaa kobazi hii mwanamke kama sio mvaa kobazi haikuhusu makaburi sio mali yenu watu waende kuzika bila kujali jinsia
Mkuu hakuna ambaye aheshimu dini ya mtu!
Nadhani ni vizuri kama unamajibu uyaweke hapa ili na wengine tujifunze!
Ukiangalia wanawake wengi wa Kiislam huwa wanalalamika sana kunyimwa fursa za kuwasindikiza Wapendwa wao makaburini ili nao wakashuhudie wakizikwa!,sidhani kama ni vibaya!
Ndiyo maana jamaa alitaka kujua ni kwanini Dini ya Islam hairuhusu mwanamke kwenda Makaburini?
Je,Aya za maandiko ya Quran zinasemaje kuhusu hilo?,Je unaweza ukaweka hapa Aya kadhaa ili tusome sote tujifunze?