Mama mchunga hata ukisema leo nipo tayari πππ achana na story za vijiwe vya kahawaπ π π πNgoja uzeeke ndio utajua ni nn kilikufanya usioe
π€£π€£π€£π€£ nimeokoka na kuzaliwa upya katika kristooGhafla tu kila mwanamume ana kipato, anatunza mkewe na mkewe kafuata ajira ndoani na ana mali siku akifa mkewe anacho cha kurithi.
We listen, we donβt judge π
Vipi kuhusu wanawake walioolewa na wanavipato zaidi ya waume zao? Vipi kuhusu wale watoto wakishua nao wanaoolewa wakapate ajira? Again Vipi kuhusu neno βSingle mother walio ndoaniβ? na hawalalamiki wanaendelea na maisha yao sababu wanajua wanachopata kwa waume zao, Wao je?
Tusiwaweke wanawake wote kwenye fungu moja, Kwa wengine itβs more than that for others. Japo ni kweli kuwa kuna akina sisi ambao tunaolewa ili tupate ajira, tunaolewa sababu hatuna pakuishi na hatuna chakula π
Halafu bichwa we sio wakujadili mambo ya ndoa bwana, jadili yale mambo yako.
WisdomWanataka usalama ( tulizo la kihisia tu ) wanawake wengi hawana hulka ya kutanga tanga na kila mwanaume ni shida tu haina adabuπ€π€π€
Ndoa ni ajira kwa mwanamkeHii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.
Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.
Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?
Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?
Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?
Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?
Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?
Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!
Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.
Hii imekaaje?
Kwa huo mda tu mkuuπWisdom
π€£π€£π€£π€£ upo tayari kwa lipiMama mchunga hata ukisema leo nipo tayari πππ achana na story za vijiwe vya kahawaπ π π π
Tupande hanang mama mchungaππ€£π€£π€£π€£ upo tayari kwa lipi
Unachopaswa kujua,mwanamke ndivyo alivyoumbwa asili yake ni kuhitaji mwanaume ambaye atamtegemea,hii ni kuanzia ulinzi wake,afya yake,maisha yake na kila kitu,na hii hali huwa ni nature, inamfanya ajihisi kuwa yuko very much protected,kaumbwa hivyo,inawezekana hata yeye mwenye ukimuuliza hajui kwanini anakuwa hivyo.Hili ukitaka kuliona vizuri ni pale unapokuwa na mtoto wa kike,automatically wanakuwa karibu sana na baba yao kuliko na mama,that is nature.Sasa linapokuja swala la ufeminist hapo ndipo wanapoharibu hilo lengo wanakuwa kama majizi flani hivi...Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.
Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.
Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?
Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?
Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?
Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?
Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?
Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!
Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.
Hii imekaaje?
Habari za hannang nilisha zifuta kitamboTupande hanang mama mchungaπ
Naunga mkono hoja.Wanataka usalama ( tulizo la kihisia tu ) wanawake wengi hawana hulka ya kutanga tanga na kila mwanaume ni shida tu haina adabuπ€π€π€
πͺπͺπͺmuoneHabari za hannang nilisha zifuta kitambo
Final uzeeni utakosa wa kukusogezea hata kijiko haya maisha tunategemeana
Wanawake wanatamani sana ndoa, binti akishavunja ungo tu
Tusisahau tu kuwa ukimuumiza mwanamke kisasi chake ni kwa mwanaume mwenzako na huwa hakiwi kidogo na huenda vizazi viwili au vitatu maana wamebeba uzazi.Na hautakiwi kumuoa mwanamke kwa kumuonea huruma ukipata nafasi ya kumuumiza mwanamke muumize kadiri uwezavyo. Hit her and run
Nimefanya ninπͺπͺπͺmuone
Hiko kisasi anakifanyaje kwa huyo mwanaume mwingine?Tisisahau tu kuwa ukimuumiza mwanamke kisasi chake ni kwa mwanaume mwenzako na huwa hakiwi kidogo na huenda vizazi viwili au vitatu maana wamebeba uzazi.
Ndoa ni ya mwanamke, mwanaume hana ndoa kabisaHii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.