Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Kwanini wanawake wanang'ang'ania sana ndoa?

Mwanamke aache kujiuza ndio suluhisho
Kila kitu kinaanzia katika level ya familia boss. Mwanamke anayejiuza anatoka kwenye familia fulani, ukoo fulani. Wazee wa ukoo, baba na walezi Tukiweza kudhibiti watoto kimaadili umalaya utapungua mno, tukilikwepa hilo jukumu tutakuwa na wamama malaya, mabinti malaya, vijana wanunua malaya n.k
 
Wanataka usalama ( tulizo la kihisia tu ) wanawake wengi hawana hulka ya kutanga tanga na kila mwanaume ni shida tu haina adabu🤔🤔🤔
Wanachotaka ni urithi, wawe na uhakika wa kurithi mali, wanahofia mume akifa, wanaweza tokea michepuko ya kweli au uongo, wakadai wamezaa na marehemu.

Wanawake wote huwa wanauhakika mwanaume ndio atatangulia.
 
Ndoa ni ajira kwa mwanamke ndugu yangu divisheni foo yani hapo mwanaume unakuwa umemsaidia
1.Makazi
2.Chakula
3.Mavazi
4.Afya akiugua
5.Ulinzi na usalama
6.Watoto na heshima
7.Usafiri akitaka kusafiri
8.Ukifa anarithi Mali zote
9.na unaweza kumfungulia biashara yake
Yote hayo utayafanya in exchange of sex
Nimescreen shot hii ikawe muongozo wangu kila ninapotaka kupotea kumpenda mtoto wa mtu
 
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.

Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.

Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?

Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?

Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?

Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?

Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?

Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!

Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.

Hii imekaaje?
ni kama vile tu mwanadamu anavyohangaika kumtafuta Mungu
atafanya hiv na vile
atatoka huko na kuhamia kule
full kuhangaika
 
Ndoa ni ajira kwa mwanamke ndugu yangu divisheni foo yani hapo mwanaume unakuwa umemsaidia
1.Makazi
2.Chakula
3.Mavazi
4.Afya akiugua
5.Ulinzi na usalama
6.Watoto na heshima
7.Usafiri akitaka kusafiri
8.Ukifa anarithi Mali zote
9.na unaweza kumfungulia biashara yake
Yote hayo utayafanya in exchange of sex
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hiyo asilimia moja kwanini usimchukue mmoja? Asilimia moja ya watu bilion 4 unajua ni ngapi?
Hao billion 4 wapo daslam? (NB;daslam hamna hata mmoja wote matapeli) pia Hapo Kuna watoto walio olewa wazee na wagonjwa....

Kiufupi iyo moja nawapa wazazi wet kwa Maana ya mama zetu japokua wapo wanao zingua vile vile .... ila mabinti zao wote chenga.
 
Kwangu mimi, Jamii ya wanaume waliofeli utaitambua kwa kutazama wanawake zao. Ukiona mmezungukwa na malaya, ujua hamna wanaume hapo.
Mimi naishi Sinza hapa Kuna Wanawake Kibao ambao wanaojiuza.. kwa hiyo na Mimi ni mwanaume wa ovyo niliyefeli kisa tu naishi mitaa yenye malaya Kibao au?
 
Hii imekaaje? Wanawake wanang'ang'ania sana kuolewa hata ikibidi kutumia uchawi na kulazimisha ilimradi tu waolewe.

Wengine wanakesha makanisani wanagaragara madhabahuni wakiombewa wapate ndoa.

Wanapambana na kung'ang'ana vibaya mno kwanini?

Huko kwenye ndoa kuna nini haswa kinachofuatwa kwa nguvu kiasi hicho?

Ndoa ni Muunganiko wa hiari wa watu wawili waliopendana, lakini haya mambo ya KUFOSI yananitisha?

Shida ni nini? Ni hamu ya kushenyentwa? Au ni hamu ya kuzaa? Au ni njia ya kusaka ugali?

Kama ndoa ni nzuri sana kwa pande zote mbili, mbona sionagi wanaume wakihaha makanisani kutafuta wanawake wa kuoa?

Sijawahi kuona dume linaombewa kanisani ili lipate mke!

Wengine mpaka wanapakwa mafuta ya upako ili waolewe.

Hii imekaaje?
Mchenyeto kaka ndio unawaforce kuolewa apa kwenyew nasumbuliwa Atari ndio kwanza ata mda Sina kundini naona sitoki🤣🤣🤣
 
Kila mwanamke huwa na malengo yake ila mwisho muda ndio huwa inaamua
Hapa mtaani Kuna Binti ni msomi Tena wa ngazi ya stashahada kabisa amezalishwa na mvuta bangi tu mmoja ambaye Hana mbele wala nyuma...

Sasa hivi eti ndio anatafuta mwanaume mstaarabu afanye nae maisha...

Kulingana na hii comment yako, huyu Binti naye alikuwa ana malengo ya kuzaa na mvuta bangi kwanza kisha baadae ndio aje aolewe na mwanaume mstaarabu etiiii???
 
Wanaume ndo tunatengeneza malaya. Tukisimama kwenye misingi yetu tatizo la umalaya litapungua mno. Wanawake wanafata miongozo ya wanaume zao. Tukishindwa kuwaongoza wanaibuka wale wa independent woman na kufata miongozo yao ndo umalaya unazaliwa humo.
Wewe nae bwana sijui huwa unalipwaga shingapi kutetea ujinga na uovu wa wanawake wanaoufanya kwa utashi wao wenyewe....

Yaani sisi Wanaume ndio tunawafanya wanawake wawe Malaya??? Ni kiungo gani unachotumia kufikiri we jamaa?

Hawa Wanawake wa miaka hii ambao wamejawa na tamaa ya kuishi maisha ya luxury na kazi hawataki kufanya kisa tu wenyewe ni wazuri wanaachaje kuwa Malaya?

Binti anatamani kumiliki Iphone 16 yenye gharama ya 3m na Hana biashara au kazi yoyote ya maana ataukwepaje umalaya???

Kwamba sisi wanaume ndio tunawafanya Wanawake wawe na tamaa ya vitu vya gharama ambavyo hawana uwezo wa kuvi afford kwa decent means au??
 
Wanawake wapo kuendeleza na kuulea uzao wa mwanaume. Lolote baya linalomkuta mwanamke ni hasara kwa jamii ya mwanaume.

Hichi unachokiona sasa ni matokeo ya uzao na ulezi wa wanawake waliopita. Miaka 30 ijayo hawa mabinti unaowaona sasa huko tiktok na FB ndio watatoa product zao za malezi yao. Sasa changanya na zako uone Jamii yenye wanaweke malaya ni nani anakomoleka.
Eti "lolote baya linalomkuta mwanamke ni hasara kwa Jamii ya wanaume"

Una kichaa Cha wewe sio Bure, kwamba hao Wanawake wenyewe ni marobot maisha yao yote wanaongozwa kwa remote?
 
Ni kazi ya wanaume kuhakikisha jamii haiendekezi umalaya. Wanaume ni viongozi. Na hii inapaswa kuanzia katika level ya familia. Wanaume wakisimama katika nafasi zao umalaya utapungua mno. Jamii inayonuka umalaya ni jamii ambayo wanaume zake wamefeli. Huu ndo ukweli mchungu.
Wewe nae bwana mbona unazidi kuongea upuuzi tu ambao huko detached na reality?? Una akili gani wewe??

Kwamba sisi wanaume tushike fimbo tuwachape hao Wanawake ambao wameamua kufanya umalaya au???

Kwanza unajua hata hiyo nafasi ya uongozi unayoitaja taja hapa Sasa hivi huna kulingana na mabadiliko ya kijamii yaliyochaguizwa na radical feminism? Sasa hivi wewe huna mamlaka imebaki jina tu kuwa mwanaume ni kiongozi basi ..

Kaa ukifahamu tu kwamba tunaishi kwenye zama za uhuru wa kujiamulia, leo hii mwanamke naye ameambiwa ana uhuru wa kujiamulia chochote juu ya mwili wake bila kubugudhiwa, hivyo anaweza akaamua kufanya ngono ovyo ovyo kadri anavyojiskia na ukijaribu kumzuia anaweza akakushtaki maana unamuingilia kwenye uhuru wake....!

Wewe ni mtetezi mkubwa wa Wanawake lakini unaonekana hujui hata nini kinachopiganiwa na Wana harakati wa haki za Wanawake, Moja ya kitu wanachopigania wanaharakati hao ni Women's sexual freedom yaani uhuru wa kufanya umalaya kadri wanavyojiskia.. halafu wewe mshenzi mmoja unakuja kusema eti sisi Wanaume ndio sababu ya wanawakw kuwa Malaya we jamaa vipi bwana???
 
Back
Top Bottom