Najua kuwatenga wanawake na mapambo Si KAZI ndogo,Umeandika ujinga mwingi..wanawake are more emotional based kuliko wanaume ndo maana are more likely kuamini vitu visivyo vya ukweli Kama wachungaji waganga matapeli etc wanaendeshwa kwa hisia Kama uwoga tamaa etc....
Ukweli kivipiNajua kuwatenga wanawake na mapambo Si KAZI ndogo,
Lakini UKWELI wa Mungu Hauna budi kusemwa.
Sehemu hizi watu Wana elimu na hela hawawezi waza ujingaNimeishi oysterbau miaka 20 sikuona wala kusikia habari za mapepo
(Mhubiri 5:12)Nimeishi oysterbau miaka 20 sikuona wala kusikia habari za mapepo
Utajiri unayotoka kwa Mungu na usiotoka kwa Mungu ni upi. Acheni wivu wa maendeleo na mfanye kazi(Mhubiri 5:12)
USINGIZI wake kibarua ni mtamu, kwamba amekula kidogo, au amekula vingi, lakini kushiba wake tajiri hakumpi kulala USINGIZI!!!
Wadanganye wasiojua kilicho behind Utajiri usiotokana na Mungu.
Irrellevant,(Mhubiri 5:12)
USINGIZI wake kibarua ni mtamu, kwamba amekula kidogo, au amekula vingi, lakini kushiba wake tajiri hakumpi kulala USINGIZI!!!
Wadanganye wasiojua kilicho behind Utajiri usiotokana na Mungu.
Utajiri utokao Kwa Mungu ni OG, wa shetani ni fake.Utajiri unayotoka kwa Mungu na usiotoka kwa Mungu ni upi. Acheni wivu wa maendeleo na mfanye kazi
We ndo umetoa HOJA irrelevant,U
Irrellevant,
Mleta Uzi unaugua matatizo ya afya ya akiliHivi upepo kuwepo ni suala la imani au ni fact? Mbona uelewa wako unatia shaka!
Mbona hayafiki masaki na oystetbay kiila siku ni huko uswahiliniWe ndo umetoa HOJA irrelevant,
Mapepo hayaogopi watu wa kipato Cha juu, hayabagui, hayachagui.
Kwamba wanaume hawapitii maumivu kwenye NDOA au ugumu wa maisha?Nani kasema? Yale siyo mapepo Mkuu....ni maumivu wanayopitia kwenye ndoa au ugumu wa maisha
Wapi HOJA imeongelea wanawake wa uswahilini?Mbona hayafiki masaki na oystetbay kiila siku ni huko uswahilini
Una kichwa kigumu sana ndugu yanguWapi HOJA imeongelea wanawake wa uswahilini?
Wanakufa kiume mkuuKwamba wanaume hawapitii maumivu kwenye NDOA au ugumu wa maisha?
Hakika Wanaume wengi hawa wathamini inavyopasika Wanawake zao.Tuwasaidie, maana huwapeleka na watoto wetu bila kutuomba ruhusa.
Wanaume turudi kubeba majukumu yetu kushape familia na vizazi vijavyo.
Tuache ulevi na ubussy for nothing.
Amen
Wanaume tunahusika direct na taabu wanazopitia wanawake.Hakika Wanaume wengi hawa wathamini inavyopasika Wanawake zao.
Kumbuka kutokana na kuzaa na kazi kazi Wanawake wanachakaa haraka kuzidi wanaume.
Nina marafiki zangu wengi tu wamewaacha wake zao baada ya kuchakaa na kuona Wanawake wengine vijana na warembo.
Hili linapelekea Wanawake wengi Kutafuta nguvu za Imani ili kuwarudisha waume zao katika upendo wa awali.
Hapo Wanawake hasa wale wa kiasili huwa wanaaamua kutumia maombi au waganga wa kienyeji.
Ndio maana unaona kwenye Makanisa Kuna waumini wengi wanawake. Na wengine huamua kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Wanaume tuwathamini wake zetu tulio anza nao maisha.
Huwa wanaumia sana tunapo waonesha Upendo hafufu baada ya kuishi nao muda mrefu.