Kwanini wanawake wazuri sana wanakataa wanaume?

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Ivi ushawahi kujiuliza kwanini
1. Wanawake wazuri sana wanakataaga wanaume?
Namaanisha
A. Mzuri wa umbo
B. Mzuri wa kili
C. Mzuri wa utafutaji
D. Mzuri wa Dini
E. Mzuri wa Tabia na maadili

Yani awe na vitu vyote 5 hapo juu,

Hao wanawake wanakuwaga hawapatikani kirahisi kwa wanaume hata kama mwanaume ana hela

Ushawahi kujiuliza ni kwanini?
 
😄 🤣 😂 hii kali ya mwaka
Mwanamke mzuri sana wanaume ndio wanaogopa kutupa ndoano kwa kutokujiamini
Ndio maana unakuta mtoto mzuri haswa halafu kaopolewa na jamaa ana sura mbaya
Unajua kwa nini ?
Kwa sababu nyie mnaogopa kutongoza ukisitasita na kusema sijui atanikubali?
Sisi ugly tunapitia mnakoogopa kutongoza
 
wengi wao wanakua ni mafenist wanaona wana kila kitu wanachokihitaji katika maisha, wanaona mapenzi ni kama kupoteza muda nas kumkosea Mungu, hawataki kujiingiza kwenye matatizo ya wanaume wanaona kama wanawajua sana wanaume kwahiyo hawataki na wao kuingia kwenye matatizo waliyoingia wanawake wenzao . lakiuni wakija kupenda wanakua poa tu ila hawatakli kuongozwa au kua chini ya amri za mweanaume.
 
Suala sio kuogopwa suala hapo ni nguvu ya kuwa na mtu anaetongozwa 24/7
DM yake imejaa wazee na vijana maskini na tajiri
Ni hakuna kitu utamwambia maji ya bafuni utajipelekea kama ni hizi bafu zetu Kuna wakati nguo utajifulia na chakula utajipikia yani ni kama unaishi na mshikaji wako ndani
Na kwa kuongezea Junior atanyolewa kiduku na kitavirigwa na hutasema kitu
 
ALL TRUE
Na ugly lazima awe na hela lkn
 
Sauwa
 
Uko na nidham za woga wewe
 
Kwa. N wanaume wazuri wanaoa wabaya wakezao
 
No reason
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…