Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Anachopewa MkuuYaani mpaka hapo bado tu uko naye?? Yaani uwe nae wakati anatafuta mtu kwenye dating site!! Na ukizingua anakuja kufanya fujo kwako. Dah una moyo Bro pia atakuwa anajua madhaifu yako mengi ndio maana yeye ndo anapanga lini muachane.
Mi Mchepuko Wangu Aliniuliza Swali Last Week! Hadi Niliishiwa NguvuSiri ya mtungi bila shaka[emoji4]
Pole sana umekoroga mambo kwa kumsaliti mwenzi wako. Sasa inabidi utafute ufumbuzi wa hilo tatizo, vinginevyo uliamua kumwaga ugali basi mchepuko wako utamwaga mboga!Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.
Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.
Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??
Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)
Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Naombeni ushauri wanajamvi
Asanteni sana.
Nshatoa ufafanuz Nini afanye,Kwa sasa hawezi maana tayari kuna feelings involved hapo kati. Na unachosema ni kweli, inawezekana huko mpango wa kando kapewa vitu adimu ndo maana kafungua moyo hadi mchepuko anajua siri muhimu za kambi.
Mimi nadhani mkuu inabidi uchapishe gazeti huru humu ndani kuelekeza jinsi ya ku-deal na michepuko ili wadau wengine waelewe, maana ule wa kwako umekaa standard juu ya mstari tena bila kelele.
NB: Nangojea mrejesho wa ulichofikiria na kuamua kuhusu yule shemeji anaelalamika unaenda kwake na mchepuko
Jibu huwa Ni Moja,Mi Mchepuko Wangu Aliniuliza Swali Last Week! Hadi Niliishiwa Nguvu
😂😂😂😂😂Niljua tu lazima uteteeMsiwe mnawahi kuhukumu,
Hujui anapata Nini uko kwa Mchepuko wake[emoji4]
Tayari anae mtu mwingine anataka wewe ndo uwe sababu ya kuachana nae,piga nyama chini rudi kwa bibi mkubwa huyo hana maana kwn pia anaweza kuzaa na mwingine ukashikishwa wewe anatafuta kibali haramu kwakoDeep Pond unaitwa huku uje kutoa ushauri wako Rais Mkuu wa Michepuko JF [emoji2960]
Dudukila limemkolea sasa anataka kujimilikisha kupitia mtotoYote hayo anafanya sababu aishakuona kuna sehemu nati imelegea mzee, ukiona mwanamke anafikia hatua ya kuropoka vitu, jua kuna sehemu hujasimama vizuri kama mwanaume.
Kifupi haoo piga chini mapema.
Hapa mwanamume hamna kabisa.Hadi hapo wala haupendwi unachunwa tu mwenyewe unajiona mjaaanjaaa aiseeee
Kweli kabisa mkuu. Wengi humu hushambulia sana wanaume wasio na nguvu za kiume(japo ni nadharia tu hizi).Wanaume sio kuishiwa nguvu tu za kiume, siku hizi hata akili na moyo wa kiume hatuna tena.
Kwahiyi ni mambo gani ambayo aliyakana na sasa analazimisha? Mlivyoanza mapenzi mlikubaliane asizae tena au ukishakuwa single maza ni marufuku kuongeza mtoto mwingine?Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.
Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.
Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??
Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)
Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.
Naombeni ushauri wanajamvi
Asanteni sana.
Kwahiyi ni mambo gani ambayo aliyakana na sasa analazimisha? Mlivyoanza mapenzi mlikubaliane asizae tena au ukishakuwa single maza ni marufuku kuongeza mtoto mwingine?
Mmh hayaAngetaka kuzaa watoto 2 au 3 au 4 angejitunza ili apate mme mwema na siyo kurukaruka na wahuni mpaka wakamzalisha
Mheshimiwa mkuu sana,una uhakika hauna kale kanaitwa ka-pambafyu kichwani?Pole mukubwa yángu!Napiga pole sana.Eske,uko na maladi ya troo!Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.