Kwanini wanawake wengi ni single mothers?

Yaani mpaka hapo bado tu uko naye?? Yaani uwe nae wakati anatafuta mtu kwenye dating site!! Na ukizingua anakuja kufanya fujo kwako. Dah una moyo Bro pia atakuwa anajua madhaifu yako mengi ndio maana yeye ndo anapanga lini muachane.
 
Kuna Anachopewa Mkuu
 
Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.

Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.

Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??

Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)

Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.

Naombeni ushauri wanajamvi

Asanteni sana.
Pole sana umekoroga mambo kwa kumsaliti mwenzi wako. Sasa inabidi utafute ufumbuzi wa hilo tatizo, vinginevyo uliamua kumwaga ugali basi mchepuko wako utamwaga mboga!
 
Binafsi natumia njia 4 kuzuia kumpa mimba.

1. Nacheza vizur na Kalenda yake.
-Siku za hatari, simwagi ndani.

2. Nacheza na Ute ute wake wa chini,
Kuna Ute flani ukiwa kwenye foreplay anautoa akiwa na nyege, nikajua uko ktk Hali ya hatar. Simwagi ndani.

3. Nacheza DELAY TACTIC
Yaani ile unasex nae MDA mrefu mpk anachoka mwenyewe anakwambia imetosha. Afu unaondoka ujakojoa bao.

Hii naitumia Sana kumkwepa Kama siku iyo sina uhakika sana usalama wa njia Namba 1 na Namba 2

4. Nacheza na vidonge vya P2 na soda ya bitterlemon.

Hii nikijua nmemwaga ndani,
ndani ya Masaa 48 nahakikisha anapata bia za kutosha mpk anapata HANG OVER.

Kisha namshawishi anywe soda ya crest bitterlemon kuondoa uchovu.

NB: Hii soda ya crest bitterlemon au Everest hata uchanganye pakt nzima ya P2 ladha yake haibadiliki kabisa.

Kwaiyo yeye hajui kwamba kamezeshwa vidonge vya kuzuia mimba bila hiari yake.[emoji4]

Cc: witnessj
 
Kwa sasa hawezi maana tayari kuna feelings involved hapo kati. Na unachosema ni kweli, inawezekana huko mpango wa kando kapewa vitu adimu ndo maana kafungua moyo hadi mchepuko anajua siri muhimu za kambi.
Mimi nadhani mkuu inabidi uchapishe gazeti huru humu ndani kuelekeza jinsi ya ku-deal na michepuko ili wadau wengine waelewe, maana ule wa kwako umekaa standard juu ya mstari tena bila kelele.
NB: Nangojea mrejesho wa ulichofikiria na kuamua kuhusu yule shemeji anaelalamika unaenda kwake na mchepuko
Nshatoa ufafanuz Nini afanye,
Soma vizur afu toa maoni yako[emoji4]
 
Wanaume sio kuishiwa nguvu tu za kiume, siku hizi hata akili na moyo wa kiume hatuna tena.
Kweli kabisa mkuu. Wengi humu hushambulia sana wanaume wasio na nguvu za kiume(japo ni nadharia tu hizi).

Lakini hili la kutokua na maamuzi na moyo wa kiume ni janga kubwa zaidi ndgu yangu.

Acha washauri wamshauri mimi sina ushauri wa kumshauri muomba ushauri.
 
Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.

Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.

Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??

Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)

Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.

Naombeni ushauri wanajamvi

Asanteni sana.
Kwahiyi ni mambo gani ambayo aliyakana na sasa analazimisha? Mlivyoanza mapenzi mlikubaliane asizae tena au ukishakuwa single maza ni marufuku kuongeza mtoto mwingine?
 
Angetaka kuzaa watoto 2 au 3 au 4 angejitunza ili apate mme mwema na siyo kurukaruka na wahuni mpaka wakamzalisha
 
Habari jioni wanajamvi na hongera kwa busy Monday.

Kwa ufupi nipo njia panda hivyo ningependa kupata ushauri wenu ndugu zangu. Story iko hivi, nina familia ya mke na watoto 4. Mtoto wa kwanza Form 6, form 4, form 1 na wa mwisho Std 5. Sasa mwanzoni mwa corona pandemic nikajikuta nimepata ka mchepuko ka single mother na kwa sababu ya work from home nikajikuta tumekuwa karibu sana. Tukaendelea kuwa pamoja na nikampa support ya maisha ya kila siku maana kazi yake ilivurugwa sana na corona.

Mpaka sasa tupo wote huu mwaka wa 2 na kinachoendelea sasa ni madai kwamba age yake imesonga sana na angependa apate angalau mtoto wa pili kabla ya kufikisha 40yrs maana sasa yuko na 38yrs. Demand ya mtoto wa pili imeendelea kuongezeka siku adi siku lakini mimi baada ya kutafakari nikamwambia kwamba sipo tayari kwa sasa maana yeye kwa sasa hana kazi so gharama za maisha yake na mtoto wake ni juu yangu 100% kwa sababu baada ya corona ofisi yao ilifunga operations Tanzania. Lakini yeye anasema mimi nipo selfish maana mimi tayari nina watoto 4 na yeye ana kamoja tu so ni kwanini nisimsaidie akapata katoto ka pili ??

Baada ya kuzozana kwa muda wa miezi kama 2 sasa amekuja na pendekezo kwamba nimruhusu ajiunge kwenye dating site/app inaitwa Bumble ambayo aliisoma kwenye app ya Mange ili apate mwanaume wa kudate naye na kama akifanikiwa kumpata basi waoane wazae mtoto maana anaona natural process ya kupata mtu wa kuzaa naye itachukua muda na atajikuta amevuka 40 bila mtoto wa pili. Mwanaume alozaa naye mtoto wa kwanza hawana mawasiliano tena na mimi ndo namsaidia kumtunza na kumsomesha mtoto wake ( yupo darasa la 2 sasa)

Baada ya kuja na mapendekezo ya kujiunga na dating site nikakasirika nikamwambia mimi na yeye then basi (though ki ukweli roho ilikuwa inauma kukaacha maana yaliyomo yamo saaana.) Yeye anasema kama sitaki kuzaa naye yafaa nimruhusu kwenda dating wakati tuko wote ili akipata mwanaume ndo tuagane maana nikimuacha hatokuwa na wakumtunza. Akaenda mbali zaidi anasema nikimuacha kabla ya kumpata mwanaume mwingine anakuja nyumbani kwangu kufanya fujo.

Naombeni ushauri wanajamvi

Asanteni sana.
Mheshimiwa mkuu sana,una uhakika hauna kale kanaitwa ka-pambafyu kichwani?Pole mukubwa yángu!Napiga pole sana.Eske,uko na maladi ya troo!
 
Back
Top Bottom