Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Me naona hayo ni malezi, kufundwa and the like.
Mtu kuwa na mapenzi ya dhati has nothing to do with udini…

Mimi nakua najua baba akirudi ikitokea nikamuona hata kuanzia kule nasogea kumpokea na pole juu.

Nimezoea nyumbani kumpa mtu mkubwa glass ya maji na goti lile la mpaka chini unless kama nampa na jug ndio nitamuachia kwa stuli ila lazima nimkaribishe.
Hayo yote na mengine ukiyafanya kwa ambao hawajazoea wanabaki kuona ni vitu next level [emoji3]

Na ni mkiristo kindaki ndaki.
Mwenzetu labda utakuwa umetokea ile kanda ya sukuma gang
 
Inaleta ubishi tu na we Mzabzabina!we mwenyewe unajua Nani fundi kwenye hiyo sekta
Wala sio ubishi....ni reality kiwa hii kitu ni wakristo kwa wahindu kwa eithist kwa waislam ...
 
You are comparing while making us christian ladies look like dirt..

Mnatuchafua bwana..Nyie wasifieni mademu zenu wa kiislamu in peace bila kutuchafua cuz badhi yao wana mambo yao ya ajabu ajabu pia .
Wee kama msafi jiongelee wewe wapo wakristo wachafu tunaruka nao daily
 
So u do agree kuwa hii ishu haijawa confined kwa dini moja but cuys across the entire society
It may cut across the the entire society,but we can't underestimate their contribution on the rise an spread of it on our society.... Imagine they were able to keep their virginity untill marriage but they keep using the other part.. can't you see they deserve 🏅?
 
It may cut across the the entire society,but we can't underestimate their contribution on the rise an spread of it on our society.... Imagine they were able to keep their virginity untill marriage but they keep using the other part.. can't you see they deserve [emoji966]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] So they deserve a medal to have a front virginity but without the behind one..
 
It may cut across the the entire society,but we can't underestimate their contribution on the rise an spread of it on our society.... Imagine they were able to keep their virginity untill marriage but they keep using the other part.. can't you see they deserve 🏅?
Ah kumbe mie nilikuwa sijaelewa....kumbe its a competition with medals being awarded
 
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.

Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.

Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.

Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.

Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.

Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.

Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Je anaenda kazini au mishughuliko ya biashara au yuko nyumbani tuu?
 
Back
Top Bottom