Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwahio yeye hajaajiriwa/hajajiajiri na hivyo kila ukirudi home unamkuta anakusubiri kwa mapokeszi hayo!!!🤔
Yeye anafika home mida ya 1 au Mara nyingine ni saa 2 usiku anafanya kazi na ni muajiriwa wa Serikalini lakini mimi nafika home saa 5 au sometime saa 6 usiku
 
Sasa wao field wanafanyia wap c ndo kwenye kudate ili akiolewa aende kufanyia kaz experience aliyonayo
Hiyo ni nje ya utaratibu au sheria za dini,zinaa ni haramu,
Zinaa ni kitendo cha kufanya ngono na mtu ambaye sio mkeo au sio mumeo,

Hayo ni maneno ya vitabu vya dini na sio maneno yangu.
 
Wala Hilo sio lengo langu kama ulivyosema wewe mimi ni mkristo nasali kanisa la lutheran kwenye ushirika wa Kimara pale kimara Korogwe uzi wangu upo clear kabisa sema tu wewe unaingiza ushabiki wa kidini tatizo linaanzia hapa mimi nimezungumza kile ninachokiona na mwisho kabisa nikauliza ambayo wewe au mtu anatakiwa anajibu tupo hapa tueleweshana na kujifunza sio kuonesha dini fulani ni nzuri au nyingine ni mbaya
Mbona umeshaonesha dini gani ni nzuri na gani mbaya??
 
Wahenga walisema "siku ukimjuwa mwanamke ndiyo siku yako ya kufa".

Ikiwa unadhani au unafikiri kuwa utamjuwa mwanamke basi elewa kuwa unajisumbuwa nafsi yako, hutoweza kumuelewa mwanamke maisha yako yote.
Kwahiyo unataka nikishaonana na mwanamke nikimpenda kesho yake nifanyaje process ya kumuoa au sio?
 
Kama nitaoa basi nitaoa mwanamke aliyekuzwa kwenye mfumo wa kiislamu..japokuwa mimi ni Mgalatia.
Kitu namba 1 ninachowapendea ni mbinu za kuchepuka.
Anakupa laini iliyosajiliwa kwa jina la rafiki yake,Mkichat anakuita Shoga (Inabidi ukubali tu kuitwa Shoga huna namna)
Akikutumia ujumbe FY maana yake Fala yupo.
 
Mkuu ni malezi tu kuanzia ngazi ya familia na jamii inayomzunguka mathalani wanawake wengi wa mikoa ya Morogoro, Tanga, Pemba, Unguja na Pwani wa dini zote wakikristo na wakislamu wote ni mafundi na mahodari wa mapenzi.
 
Sababu Ktk Uislamu mwanamume anaruhisiwa kuoa mke zaidi ya mmoja, hivyo wake wa kiislamu wanajitahidi kuwanyenyekea waume zao ili wasiongeze wake wengine japo dini yao inaruhusu na km tayari wako wengi basi atanyenyekea sana ili kuvutia kwake.Kwa Upande wa Wakristo,si kweli kwamba Wanawake hawawanyenyekei waume zao, najua wapo japo sio wote;Hao ambao hawawanyenyekei waume zao itakuwa kwasababu wanajua waume zao hawawezi kuongeza wake wengine kwasababu Dini hairuhusu jambo hilo.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.

Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.

Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.

Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.

Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.

Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.

Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Uje ujichanganye uangukie kwa kina Aminata utajuta


Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Umesahau pia, wanaachika sana
Mademu wawili wa familia moja nimekuwa nao kitaa,ambao miaka minne iliyopita walio olewa ndani ya mwaka mmoja alianza mdogo mtu akafuatia dada yake. Mdogo wake kaachika mwaka jana ila mwaka huu kaolewa na dada mtu kaachika mwaka jana.

Hapo sijawazungumzia wanangu wa kitaa wanao oa na kuacha, kuna mwamba hajavuka hata miaka 32,kishaoa na kuacha mara tatu.
 
Hao unaojidai "Waislam" ulio "date" nao, ni Waislam jina tu au hizi ni porojo za kujitungia tu. Hakuna Mwanamke wa Kiislam mwenye kufata maadili ya Kiislam anaeweza ku "date" na yeyote yule. Huo ni uasherati na uzinzi na unataka kujaza watu ujinga.

Hvi mwanamke anaejitambuwa, awe Muislam asiwe Muislam ana "date" ili iweje? Kama si uasherati na uzinzi tu ni nini zaidi?

Kwa maana hii, hata mwanamme wa Kiislam na asie Muislam ana "date" ili iweje?

Anaeshabikia nyuzi kama hizi ni shetani tu, usiingize mambo ya dini kwenye ushetani wako.
Afadhari umemshushua huyu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sana bibi
 
Back
Top Bottom