Wakislamu Wana vitu kama viwili hivi sensitive Sana kwenye mahusiano yoyote ambavyo sisi Wanaume tunapenda ndio wamezidi nyinyi
1. Mahaba kwenye Hili eneo mmepigwa gape kubwa Sana wao kwenye mahaba wameenda extra mile ambavyo nyinyi hamfanyi na wala usiwe mbishi kwenye Hili
Tunavuliwa hadi nguo tukishatoka kwenye mishe zetu na hapa sio kwenye kufanya sex nyinyi mnaweza? Tunaogeshwa nyinyi mnafanya? Tunalishwa nyinyi mnafanya? Tunafuliwa nguo zetu na si kwamba tunaomba tufanyiwe hivyo ni wao wenyewe ndio wanaamua Tena kwenye level ya mahusiano ya kimapenzi tu n.k
2.Wavumilivu Hili mmezidiwa hasa kwenye eneo moja tu mwanamke wakislamu anaweza kumvulia mwanaume hata anapokuwa amefulia au uchumi kuyumba kwenye kipindi fulani na pia wanawake wakislamu anaweza hata kuolewa na mwanaume mwenye kipato kidogo ikiwa wanapendana ili nimeona mitaa Mingi Sana unakuta demu ni mkali kweli kweli lakini kaolewa na mtu tu ambaye anauza juice za miwa kwa budget mdogo.
DeepPond una Maoni gani kuhusu hili