Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Anacho sema mdau ni kweli wanawake wa kikristo ni wabishi na ni vigumu sana kuwafundisha na lingine ni usafi wa ndani ya mwili wanacho jua ni usafi wa nje tu na ndio maana wengi wamebandika kucha za bandia sasa unajiuliza tu mtu ameweka kucha ndefu za bandia anajisafishaje? Kwenye k yake??

Sent from my ONEPLUS A3003 using JamiiForums mobile app
 
We jidanganye tuu huko nje wanamvua kama kawa we unapigwa changa la macho ujione uko peke yako hahahaaaaa😂😂😂😂😂
 
Huu ni upuuzi tu, tunarudia.....Mtume Muhammad hakuwa muungwana, alikuwa mbakaji na mlawiti watoto. Soma historia yake ujuwe ukweli usikariri tu Quran haitakusaidia kitu bali itakufanya kuwa mnafiki tu na mtu wa mihemko kama Haji Manara.
 
Unaongea upuuuzi mtupu, bado hujakua wewe ukikua ataacha huo upumbavu wako
 
Ni waelewa
Hawana shoboshobo za kuombamizinga wanajua ni jukumu lako kumhudumia kama unampenda
Wapo romantic sana
Wanaheshima kwa mwanaume.

Nakupenda sana Hamida wangu..japo mimi ni mkristo tena mtoto wa mtumishi..

Heshima kwenu bint-kiisilam mnaojielewa na kujitambua.

Bint-kikrist jitahidini kujifunza mapenzi na mahaba na kuu zaidi kuwaheshimu wanaume achaneni na 50/50. na sio kuwazia kutengeneza nywele saloon mkizani tunapenda makapi ya nywele mnazo weka
 
Uongo.
Mwanamke mshika maandiko huwa hafanyi uasherati...toa sababu nyingine
 
Huyo bwege achana nae hajajua wanawake bado, ngoja siku akute anabanduliwa alete mrejesho hapa.
 
Mkuu hawa aliowakula wote sio wacha Mungu bali wenye majina ya dini ya Kiislam na Kikristo.
Pili hiyo 50/50 inapatikana katika kitabu gani cha biblia na sura gani?

Usiishi kwa kukariri ya vijiweni mkuu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…