Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Sababu kubwa ni TALAKA.
Mwanamke wa kiislamu anamheshimu mumewe sababu anajua akizingua kidogo anapewa talaka.

Kwenye Ukristo ndoa ni kama mechi ya mpira ambapo referee anasimamia mechi bila ya kuwa na kadi ya njano wala nyekundu. Wanapuyanga sababu wanajua tofauti na kifo hakuna cha kuwatalakisha.
Kanisa kulazimisha watu waishi kwa pomoja hata kama haiwezekaniki ni hatari sana, mauaji mengi ya kifamilia yapo zaidi kwa wakristo tofauti na kwingineko sababu kuna kipindi wanandoa watahitaji kuachana na namna ya kuwaachanisha ni kifo tu.

Ndoa ni changamoto, ndio maana ha kwenye mafundisho ya Yesu aliweka dirisha la talaka ila wakuu wa makanisa wamelifunga.
 
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.

Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.

Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.

Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.

Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.

Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.

Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Je hao wanawake uliowahi kuwa nao wana Elimu inayolingana. Mimi nafikiri kabla ya kukimbilia dini za hao wanawake vile vile tizama kigezo cha Elimu. Jinsi mwanamke anavyoelimika ndivyo anavyojua kupambanua mambo , anatafuta uhusiano wenye uwiano- si mradi uhusiano. Mwanamke anajua wakati gani wa kujishusha na wakati gani atasimama kidete kutetea msimamo wake. Unaweza kuta mwanaume ni mkorofi, mkandamizaji, haelewi anataka nini kwenye mahusiano na mfumo dume umemtawala. Utake usitake hii ni karne ya 21 - wanaume tunatakiwa tujifunze na kuwajua wanawake kidogo, wanawake wanazidi kuelimika katika mambo ya mahusiano - wanawake wanazidi kuwa wajanja. Mwanaume unaweza kudhani unapendwa kumbe hamna kitu. Wanaume tunatakiwa tujifunze zaidi mambo ya mahusiano ili wengi wetu tusije kushindwa kutengeneza mahusiano ya kudumu na akina "Hawa.
 
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.

Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.

Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.

Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.

Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.

Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.

Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Zen wanawake wa wakikristo wanaongoza kwa kunywa pombe.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.

Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeweka aya inayoelezea mwanamke atakuwa chini ya mwanaume siku zote.

Na kingine kama anafuata mafundisho ya kiislamu na hadithi basi asingekuwa anazini na huyu jamaa maana quran imeweka wazi kuwa "tusiikaribie zinaa" ila yeye anazini how?
 
Hakika watoto wa kiislamu wako humble Sana na nawapenda sana, ni wasafi, hawanuki ,ngozi laini kwa jinsi wanavojiweka sio Hawa wengine ngozi imepigwa na jua imekuwa ngumu kama ya gotini, wengi wao wanatumia mafuta natural eg Nazi, ON TOP OF THOSE THINGS wako very submissive , kuna mmoja huyo alikuwa akiomba hela unajuaaa kabisa anashida
 
Na usafi pia wa mwili.. wako vizuri kuliko hawa ndugu zetu...
hht
Hilo naweza kuthibitisha, nilishawahi kudate na mabinti wawili wa dini hizi mbili,yule wa kiislamu alikuwa wa kawaida tu kwa urembo ila chini yupo smart sana, unaweza kutia vidole na usisikie harufu yoyote ile kali,but yule wa kilokole alikuwa mrembo sana,ameumbwa akaumbika nikataka niweke makazi pale ya kudumu,shida iliyojitokeza alikuja gheto mara moja,tukanjunjana,yale majimaji yalibakia kwenye sofa, yalikuwa na harufu kali sana kama uvundo wa ng'onda,alipoondoka nzi walijaa.nilijiuliza niendelee na mchakato wa ndoa au nighairi.
 
Labda ni ile kujitahd kuondoa uwezekano wa kuongezewa mke mwingine..
 
Kama nitaoa basi nitaoa mwanamke aliyekuzwa kwenye mfumo wa kiislamu..japokuwa mimi ni Mgalatia.
Wakati unapanga nakuomba ujiandae kwa mambo mawili
1.Atakulazimisha utafute mke mwenza maana hawajazoea kulala na mme mmoja maisha yao yote
2.Ataomba talaka ili aolewe na mwanaume mwingine kama mambo yako yataenda vibaya
 
Labda ni ile kujitahd kuondoa uwezekano wa kuongezewa mke mwingine..
We umeangalia kwenye angle ya ndoa angalia hata level ya mahusiano ya kimapenzi wapo above ya wakikristo kwanza wengi wao sio wapijaji vizinga alafu Wana uvumilivu mkubwa na wanajua mahaba haswa.Ukija kwenye mademu wa kikristo hawezi kukuvumilia au heshima yake kwako ikabaki vile vile kama ukiishiwa hela
 
Malezi

Wanawake wa kiislamu wamafundishwa hayo mambo

Wanawake wa kikristo hakuna stage wanayofundishwa kuwa mume ni nani na namna ya kuishi na mume.. sanasana wanawake wa kikristo wanategemea tu experience ya wazazi wao namna wanavyoishi

Nakubaliana na wewe kuwa wanawake wa kiislam wanajua namna ya kuishi na mume na jinsi ya kumwonesha upendo
 
Kama nitaoa basi nitaoa mwanamke aliyekuzwa kwenye mfumo wa kiislamu..japokuwa mimi ni Mgalatia.
Sasa unasubiri Nini mkuu, unataka ufikishe umri wa Mrema ndio uwowe?
Btw nadhani sababu ya unyenyekevu kwa hao wenzetu ni Kwa sababu wakristo wameachia watoto wafundishwe kila kitu kuhusu malezi shuleni.
Wazazi wamebaki na jukumu la kutafuta pesa, malezi kwa Mwalimu, na Hilo ni tatizo kubwa. Aghalabu waislam bado hawajafikia.
 
Back
Top Bottom