ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Sababu kubwa ni TALAKA.
Mwanamke wa kiislamu anamheshimu mumewe sababu anajua akizingua kidogo anapewa talaka.
Kwenye Ukristo ndoa ni kama mechi ya mpira ambapo referee anasimamia mechi bila ya kuwa na kadi ya njano wala nyekundu. Wanapuyanga sababu wanajua tofauti na kifo hakuna cha kuwatalakisha.
Kanisa kulazimisha watu waishi kwa pomoja hata kama haiwezekaniki ni hatari sana, mauaji mengi ya kifamilia yapo zaidi kwa wakristo tofauti na kwingineko sababu kuna kipindi wanandoa watahitaji kuachana na namna ya kuwaachanisha ni kifo tu.
Ndoa ni changamoto, ndio maana ha kwenye mafundisho ya Yesu aliweka dirisha la talaka ila wakuu wa makanisa wamelifunga.