Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Mkuu, please do not categorise kwamba wanawake wakristo wote hatujui kujisafisha.

Labda huyo uliyekutana nae..Na pia haimaanishi kwamba wanawake waislamu hakuna asiyenuka.

Ni usafi tu wa mtu binafsi.
 
Huu ndio ukweli.
 
Muoe uone km utaendelea kupata hivyo vyote
 
Mi mkristo,lkn sijawahi kufundishwa 50/50 ,nasikiaga tu kwa watu na mitandaoni
 
[emoji106][emoji115][emoji120][emoji120]
 
Umepiga kwenye mshono, hapo hapo safi sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu, please do not categorise kwamba wanawake wakristo wote hatujui kujisafisha.

Labda huyo uliyekutana nae..Na pia haimaanishi kwamba wanawake waislamu hakuna asiyenuka.

Ni usafi tu wa mtu binafsi.
Sija categories wote,but nimeongelea kwa nilichokutana nacho,ila mujitahidi kutumia sana maji badala ya tissue! Kuna wanawake hata maji yakiwepo yeye anakomaa na tissue kufuta huko chini, matokeo yake ndo hayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfundishe mwanamke wako, muelekeze ku behave venye unapenda.

Kama amelelewa vyema atakuelewa, kama ni feminist utachora chini [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijaelewa unataka kuskia nn exactly!?
Ila mm naamini ni malezi ya mtu wala sio swala la udini.
Kuna wakristu mbona tuna mahaba kama yote[emoji3059]sijui sasa yeye hao wakristu wake aliokutana nao!.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwan umekatazwa? Si ubaki na wanawake hao wa kiislamu. Khaaah
 
Mhh nikimkumbuka demu wangu wa mwisho muislamu kichwa kinawaka moto haha. Mdomo mwepesi wa matusi, kiburi na kujiona keki.

Hehe bahati yangu nilikuwa na mademu wengine wawili walinikeep busy pamoja na kazi laa sivyo angenipanda kichwani yule. Nikafanikiwa kumuweka katika sehemu yake ya kuninyenyekea mpaka tulipoachana 6 months later. Bahati yake pia alikuwa kisu so nikawa na motivation ya kula mzigo.

Hili si suala la dini kiujumla. Ni mtu na mtu tu. Wewe umebahatika kupata mfululizo wa hivyo.
 
Muoe huyo huyo sasa unatafuna unaacha sasa nani amalizie huo uporo? Huyo mwenye mahaba weka ndani Wagalatia achana nao, wao wataolewa na Wakorintho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…