Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 2,763
- 3,955
Umeolewa?Me naona hayo ni malezi, kufundwa and the like.
Mtu kuwa na mapenzi ya dhati has nothing to do with udini…
Mimi nakua najua baba akirudi ikitokea nikamuona hata kuanzia kule nasogea kumpokea na pole juu.
Nimezoea nyumbani kumpa mtu mkubwa glass ya maji na goti lile la mpaka chini unless kama nampa na jug ndio nitamuachia kwa stuli ila lazima nimkaribishe.
Hayo yote na mengine ukiyafanya kwa ambao hawajazoea wanabaki kuona ni vitu next level [emoji3]
Na ni mkiristo kindaki ndaki.
Hamna haja kwani Mungu ni mmoja na Iwapo shida ni ndoa basi mseto yatosha.Badili dini, ili umpate muislam
AhsanteUsafi ni hulka ya mtu,haihusiani na dini ya mtu!
Kwa uzoefu wa ndoa yangu pekee ilidumu kwa miaka 11 japo kwa Sasa ana mkakati mahsusi wa kurudi baada ya kuachana 2015 Mara alivyogundua kuwa sijaona na hajui kuwa maziwa nikiyahitaji ntayapata dukani.Ndoa za hawa wadada wa kiislamu zinadumu kwa wastani wa miaka mingapi?
Tak~biirKwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.
Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.
Sent using Jamii Forums mobile app
TakbiirAlafu wengi wasichana wa Kieslamu ni wasafi sana tofauti na wagalatia
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Hapo Vumbi Litatimka SanaKama nitaoa basi nitaoa mwanamke aliyekuzwa kwenye mfumo wa kiislamu..japokuwa mimi ni Mgalatia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muoe huyo huyo sasa unatafuna unaacha sasa nani amalizie huo uporo? Huyo mwenye mahaba weka ndani Wagalatia achana nao, wao wataolewa na Wakorintho.
Hahahahahahah dah nimecheka sana et mgalatiaKama nitaoa basi nitaoa mwanamke aliyekuzwa kwenye mfumo wa kiislamu..japokuwa mimi ni Mgalatia.
Na ndoa zinazoongoza kuvunjika ni za kiislamu...
Wanafundishwa na Nani ebu nisaidieMalezi
Wanawake wa kiislamu wamafundishwa hayo mambo
Wanawake wa kikristo hakuna stage wanayofundishwa kuwa mume ni nani na namna ya kuishi na mume.. sanasana wanawake wa kikristo wanategemea tu experience ya wazazi wao namna wanavyoishi
Nakubaliana na wewe kuwa wanawake wa kiislam wanajua namna ya kuishi na mume na jinsi ya kumwonesha upendo
Mbona kama tunatishana na nyie inabidi mfungue milango ya kujifunza msiwe wabishi vitu vingi mmezidiwa na wanawake wakislamu especially kwenye eneo la kumtreat vizuri mwanaumeMuoe uone km utaendelea kupata hivyo vyote
Kitu Cha msingi waache ubishi wakubali kujifunza kwa wenzaoOhooo mbona ghafla sana wakuuu...
Sasa Dada zetu wagalatia tuwapeleke wapi.... msiwafanyie hvo tafadhali...