Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Wewe umedate na mademu 8 unasema una experience? aaah unazingua mzee
Umewahi kudate mademu wa mbeya, iringa na njombe nk kule ukristo ulikoenea sana?
Unajua kwamba mademu wenye kasumba ya kudanga na kwenda kwa mparange wamejaa sana mikoa ya pwani dini fulani ilikofikia na kuenea sana?
 
Me naona hayo ni malezi, kufundwa and the like.
Mtu kuwa na mapenzi ya dhati has nothing to do with udini…

Mimi nakua najua baba akirudi ikitokea nikamuona hata kuanzia kule nasogea kumpokea na pole juu.

Nimezoea nyumbani kumpa mtu mkubwa glass ya maji na goti lile la mpaka chini unless kama nampa na jug ndio nitamuachia kwa stuli ila lazima nimkaribishe.
Hayo yote na mengine ukiyafanya kwa ambao hawajazoea wanabaki kuona ni vitu next level [emoji3]

Na ni mkiristo kindaki ndaki.
Umeolewa?
 
Mafundisho ya dini mwanamke yupo chini ya mwanaume sikuzote hta uwe msomi wa degree zote pia tunasema pepo ya mke ipo chini ya mume kumtii ni Sheria na kumpa utuluvu ni wajibu Ila hii sio kwa wasiiona ni walio ktk ndoa
 
Ndoa za hawa wadada wa kiislamu zinadumu kwa wastani wa miaka mingapi?
Kwa uzoefu wa ndoa yangu pekee ilidumu kwa miaka 11 japo kwa Sasa ana mkakati mahsusi wa kurudi baada ya kuachana 2015 Mara alivyogundua kuwa sijaona na hajui kuwa maziwa nikiyahitaji ntayapata dukani.
 
Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.

Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tak~biir
 
Malezi

Wanawake wa kiislamu wamafundishwa hayo mambo

Wanawake wa kikristo hakuna stage wanayofundishwa kuwa mume ni nani na namna ya kuishi na mume.. sanasana wanawake wa kikristo wanategemea tu experience ya wazazi wao namna wanavyoishi

Nakubaliana na wewe kuwa wanawake wa kiislam wanajua namna ya kuishi na mume na jinsi ya kumwonesha upendo
Wanafundishwa na Nani ebu nisaidie
 
Muoe uone km utaendelea kupata hivyo vyote
Mbona kama tunatishana na nyie inabidi mfungue milango ya kujifunza msiwe wabishi vitu vingi mmezidiwa na wanawake wakislamu especially kwenye eneo la kumtreat vizuri mwanaume
 
Back
Top Bottom