Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Muoe huyo huyo sasa unatafuna unaacha sasa nani amalizie huo uporo? Huyo mwenye mahaba weka ndani Wagalatia achana nao, wao wataolewa na Wakorintho.
Eti wagalatia wao wataolewa na wakorinho mwamba umejua kunichekesha kweli kweli
 
Unazungumzia zama zipi.
Sheikh ss mzaha hatuna leo ndoa napumzika mwaka ndoa kwann asinyenyekee
 
Hiyo kubadili dini siwezi kabisa na wala haitatokea
Na yeye alkibadili dini kuwa mkristo ndiyo basi tena atakuwa hana maadili km hao wakristo unaowasema....
Umeshajijengea akilini kwako wanawake wa muislam wako hivi na wakristo wako hivi utapata tabu sana.
 
Usafi ni hulka ya mtu,haihusiani na dini ya mtu!
Uislamu unasisitiza sana usafi..

Mfano kuchukua udhu kabla ya kwenda kuswali,kuoga na kuvaa nguo safi pindi unapotaka kuingia msikitini hasa swala ya ijumaa.

Mwanaume kuosha dhakari baada ya kutoka haja ndogo..

Huoni kuna namna uislamu umesisitiza usafi kuliko dini yetu?..
 
Nna mchumba ni mpemba nampenda sana ila nasikitika siwezi kumuoa sababu ya dini
Hii ilinikuta mimi me ilikuwa ni muarabu demu alinikama akili huyu alafu alinizidi kipato lakini heshima yake kwangu ilibaki vile vile
 
Nimesoma comments zote, marks nyingi zinaenda kwa mademu wa ki-islamu katika suala zima la usafi wa mwili na mavazi na utiifu kwa waume/wenza wao, Na wengi waliothibitisha hilo ni Wanaume wa Kikristo....Kwa kweli wenzetu wanajitahidi hata katika masuala ya mavazi yenye staha.

Pamoja na yote hapo juu,hatuwezi kuhitimisha kuwa mademu wote wa kikristo ni wachafu na hawajali wenzi wao.
 
Wanabembeleza ili wasiolewe mke wa pili
 
Usafi ni moyo (roho njema), hayo mengine ni ziada tu!
 
Wanabembeleza ili wasiolewe mke wa pili
Angalia hata level ya mahusiano ya kimapenzi huko kwenye ndoa umeenda mbali wamewaacha Sana wanawake wakikristo kwanza wengi wao sio wapigaji wa vizinga
 
Mademu wakikristo wa humu wanaona wivu ukweli lazima uwongelewe wasiwe wabishi wawe tayari kujifunza
 
Mademu wakikristo wa humu wanaona wivu ukweli lazima uwongelewe wasiwe wabishi wawe tayari kujifunza
Hatuoni wivu hata [emoji1787][emoji1787] shida sasa ma Mc hawajawahi kosa ndoa every Saturday za hao hao wagalatia wachafu
 
Huu uzi ni kama vile umepika chakula chako halafu ukakiweka vizuri, Kisha mtu akaja akakidoka.

Halafu anakuja kukusifia kuwa chakula ulichopika ni Kitamu, unajua kupika.

Sasa hapo uamuzi ni wako, ima umchekee eti amekusifia au umpige makonzi kwanini amedokoa chakula chako.

Huyu jamaa anasifia mabinti wa kiislamu lakini baada ya kufanyanao maovu na machafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…