Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Wanakula spana kimya kimya😂😁😃😀Wagalatia Leo Wanapigwa Tu Kwa Hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakula spana kimya kimya😂😁😃😀Wagalatia Leo Wanapigwa Tu Kwa Hoja
Lazima Waosoma Hapa Wataacha Ubishi, Na Kukubali Wake WengiWanakula spana kimya kimya😂
Mkuu mbona hasira hasira hivi? Watoto wa kiislamu wengi hawana makuu mzee...Wako humble sana tofauti na dada zako wagalatia wanaojihesabiaga haki kwenye kila kituOweni hao wenu wanaojua mahaba, hawa wetu wasiojua tuachieni wenyewe.
Oweni hawa wetu wanaojua mahaba ,wale wao wasiojua mahaba tuwaachie wenyewe. Promo ikizidi sana tutaharibu mpango wetu wa siri tunaoendelea nao.
Punguza makasiriko wewe kinyangarika😂Kuelewa kitu gani?? Wewe ndiye uliyedate na hao 8. Uzuri ubaya uliyeuona ni wewe. Kwa nini kutaja dini za watu kwenye uzinzi wako? Ungemchagua anayekufaa na kuendelea naye kimya kimya kingeharibika nini? Tafakari chukua hatua.
Wazi kabisa, tena mwanamke wa kiislamu anaweza akaomba talaka sio kwa kufanya upuuzi bali tu akiona atashindwa kumhudumia mume vizuri huwa wapo open. La hasha atakwambia ongeza mke kufidia gap lake.Tukishindwa tunaomba talaka .
Chance ya kuendelea kupata huduma nzuri baina ya wanawake hao wawili kwa muislamu ni 90% utaendelea kula nchi ila mkristo ni 50% maana wengi walengaji.Muoe uone km utaendelea kupata hivyo vyote
Umetumia vigezo gani nipo MBEYA MJI WA KIMALEZI YA KIKRISTO TANZANIA.Ondoa huu ujinga kichwani mwako haraka sana kabla hujaja kujiua. Wasaliti wengi kwenye ndoa si ni hawa hawa kina Maimuna au ulikuwa hujuwi hili? Wanajifanya wapole na wana mapenzi ya ukweli ukiondoka tu wenzako wanakuja kulala kwenye kitanda chako huku wakichafua shuka zako.
Hao unaojidai "Waislam" ulio "date" nao, ni Waislam jina tu au hizi ni porojo za kujitungia tu. Hakuna Mwanamke wa Kiislam mwenye kufata maadili ya Kiislam anaeweza ku "date" na yeyote yule. Huo ni uasherati na uzinzi na unataka kujaza watu ujinga.Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.
Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.
Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.
Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.
Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.
Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Mkuu, akiwa shehe kuna mgogoro gani?..Kama unataka kuoa binti wa kislamu omba baba yake asiwe shehe
Samahani, umeolewa?Me naona hayo ni malezi, kufundwa and the like.
Mtu kuwa na mapenzi ya dhati has nothing to do with udini…
Mimi nakua najua baba akirudi ikitokea nikamuona hata kuanzia kule nasogea kumpokea na pole juu.
Nimezoea nyumbani kumpa mtu mkubwa glass ya maji na goti lile la mpaka chini unless kama nampa na jug ndio nitamuachia kwa stuli ila lazima nimkaribishe.
Hayo yote na mengine ukiyafanya kwa ambao hawajazoea wanabaki kuona ni vitu next level 😀
Na ni mkiristo kindaki ndaki.
Wamefunga vipi?Ndoa ni changamoto, ndio maana ha kwenye mafundisho ya Yesu aliweka dirisha la talaka ila wakuu wa makanisa wamelifunga.
Halafu anataka tusikilize anachosema, na tujifanye hatuoni alichofanya.Mzinifu tuu huyu asilete mtori zake za nyan kula mahindi. Wanawake nane na hajaoa hata mmoja
Habari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio mkristo mwenzangu.
Vitu nilivyogundua kwa wanawake wengi wakislamu angalau unakuta wanaheshima Sana, wavumilivu especially ukiwa umefuria kwa kipindi fulani na kitu zaidi na kwangu ni kikubwa hawa watu wanamahaba Sana.
Mfano mzuri huyu mwanamke niliyonae sasa hivi ni mwislamu, ndugu ndugu ninapata mahaba ambayo sijawahi kupata kwa mademu wakikristo.
Nikifika home kwenye mishe zangu navuliwa shati, nafuliwa nguo na kupigiwa pasi,nalishwa, sipangiwi kupiga papuchi napiga ninavyotaka mimi na kingine zaidi ambacho hiki kidogo sijakikuta hata kwa mademu wa kislamu wenyewe ni kufanyiwa massage yaani ni hatari.
Shida ya wanawake wakikristo wanakwama wapi kwanini wengi wao hawana mahaba kama hawa kislamu.
Wataalamu naomba mtusaidie.
Demi
Sky Eclat
DeepPond
binti kiziwi
joseph1989
to yeye
rikiboy
Dr Dre
singojr
Statistics
Usher-smith MD
Mshana Jr
Liverpool VPN
Yna2
I LOVE GIRLS
Kunguru wa Manzese
Constant reminder and frequency of reminders is high and thus increases their consciousness to their roles. Cultured ReligiouslyHabari wanajf wenzangu
Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Mimi subiri niolewe,nikiolewa nitampa simu babe atoe ushuhuda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema neno bhana nawee
Tofautisha uislam vs uzaramoNa wanao ongoza kuomba ruhusa ya kwenda ngomani kila weekend ni hao hao pia. Unajuwa wanafuataga nini huko ngomani? Kijana ukikua utajua walimwengu walivyo.