Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Oweni hao wenu wanaojua mahaba, hawa wetu wasiojua tuachieni wenyewe.

Oweni hawa wetu wanaojua mahaba ,wale wao wasiojua mahaba tuwaachie wenyewe. Promo ikizidi sana tutaharibu mpango wetu wa siri tunaoendelea nao.
Mkuu mbona hasira hasira hivi? Watoto wa kiislamu wengi hawana makuu mzee...Wako humble sana tofauti na dada zako wagalatia wanaojihesabiaga haki kwenye kila kitu
 
Kuelewa kitu gani?? Wewe ndiye uliyedate na hao 8. Uzuri ubaya uliyeuona ni wewe. Kwa nini kutaja dini za watu kwenye uzinzi wako? Ungemchagua anayekufaa na kuendelea naye kimya kimya kingeharibika nini? Tafakari chukua hatua.
Punguza makasiriko wewe kinyangarika😂
 
Muoe uone km utaendelea kupata hivyo vyote
Chance ya kuendelea kupata huduma nzuri baina ya wanawake hao wawili kwa muislamu ni 90% utaendelea kula nchi ila mkristo ni 50% maana wengi walengaji.

Mkristo huwezi kumuoa ukiwa kapuku ila mtoto mashaallah mahari ya laki 5 tu ushakamata goma unaishi nalo mjengoni maisha yako anaendana nayo.
 
Umetumia vigezo gani nipo MBEYA MJI WA KIMALEZI YA KIKRISTO TANZANIA.

Singo maza mtaani utitiri.


Hawajui 50/50 mahususi katika nini?
Yote ni sababu ya 50/50.
 
Hao unaojidai "Waislam" ulio "date" nao, ni Waislam jina tu au hizi ni porojo za kujitungia tu. Hakuna Mwanamke wa Kiislam mwenye kufata maadili ya Kiislam anaeweza ku "date" na yeyote yule. Huo ni uasherati na uzinzi na unataka kujaza watu ujinga.

Hvi mwanamke anaejitambuwa, awe Muislam asiwe Muislam ana "date" ili iweje? Kama si uasherati na uzinzi tu ni nini zaidi?

Kwa maana hii, hata mwanamme wa Kiislam na asie Muislam ana "date" ili iweje?

Anaeshabikia nyuzi kama hizi ni shetani tu, usiingize mambo ya dini kwenye ushetani wako.
 
Samahani, umeolewa?
 
Ndoa ni changamoto, ndio maana ha kwenye mafundisho ya Yesu aliweka dirisha la talaka ila wakuu wa makanisa wamelifunga.
Wamefunga vipi?
Talaka inaruhusiwa kwa sababu moja pekee, uzinzi..

Mathayo 5:32
Lakini mimi nawaambieni, anayempa mkewe talaka, isipokuwa kwa sababu ya uzinzi, anamfanya azini; na mwanamume akimwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
 
Mzinifu tuu huyu asilete mtori zake za nyan kula mahindi. Wanawake nane na hajaoa hata mmoja
Halafu anataka tusikilize anachosema, na tujifanye hatuoni alichofanya.

Hakuna kitu kama hicho.
 


Ukome na uache kuchezea mabinti wa kiislamu.
 
Nawapenda sana akina Sharifa.Wakivaa hijabu wanavutia sana
 
Habari wanajf wenzangu

Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu.
Constant reminder and frequency of reminders is high and thus increases their consciousness to their roles. Cultured Religiously
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…