Inawezekana kuna kitu kinakuvutia kwa hao wanaume wa kiislamu na hutaki kuwa wazi, mimi sijakimbiwa labda kama unawasema wengine, nasisitiza wanawake wa kiislamu wana sifa za kuwa mke tofauti na wakristo, mleta mada alisema, wanawake wa kiislamu wanajua kutambua thamani ya mume na wanajistahi kuliko nyie wakristo, ndoa nyingi za kikristo watu wanaishi mradi twende, wanakuwa wameshakerana ila hawana jinsi na kinachowapa kiburi ni kwasababu wanajua hawawezi kuachika, ndio za kikristo huwa hazivunjwi