Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

Ukweli upi? Mwanaume analelewa na mwanamke wapi sema hivi wanaume wakristo wanapenda kunyenyekewa wakati wao hawajui kujali
Kijali kupi unakotaka ufanyiwe? Wewe kama huna heshima kwa mumeo unataka yeye akujali vipi sasa ?, haki huenda na wajibu
 
Hii mada iahajadiliwa sana humu..ila huo ndio ukweli..upande wa wakristo wasichana hufundishwa 50/50 wakati mabinti wa wavaa kobazi hufundishwa kuwa submissive..kuobey kila kitu kutoka kwa mumewe..inagawa nahisi ni kinafiki sana mana wanaliwa sana nje na wnaachika kila uchwao.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu tatizo si dini bali tabia njema na malezi. Povu ulililotoa una tatizo la udini...
Keep my words. Hili bomu la kuwataka wanawake 50\50 ndoa haijulikani mke nani mume nani 75% zinavunjika + mdomo kama wako.
 
Hii ishu ya usafi kuhusiana na dini ngoja nianze kuifanya kazi maana hata mie nimeshakutana nayo sana. Ni kweli kuna mademu usafi kwao ni zero kabisa.
 
Kijali kupi unakotaka ufanyiwe ?, wewe kama huna heshima kwa mumeo unataka yeye akujali vipi sasa ?, haki huenda na wajibu
Hivi mke mwenye utimamu wake anaweza kuanza kumzarau Mme bila sababu? Au unataka mke ambaye hawezi kuhoji chochote mme alale huko huko yeye anakenua Meno? Au mnawapendea suna? Acha nitoke tu kwenye hii mada.
 
Inawezekana kuna kitu kinakuvutia kwa hao wanaume wa kiislamu na hutaki kuwa wazi, mimi sijakimbiwa labda kama unawasema wengine, nasisitiza wanawake wa kiislamu wana sifa za kuwa mke tofauti na wakristo, mleta mada alisema, wanawake wa kiislamu wanajua kutambua thamani ya mume na wanajistahi kuliko nyie wakristo, ndoa nyingi za kikristo watu wanaishi mradi twende, wanakuwa wameshakerana ila hawana jinsi na kinachowapa kiburi ni kwasababu wanajua hawawezi kuachika, ndio za kikristo huwa hazivunjwi
Nenda kusini huko ambako 98% ni hao hao kisha rudi hapa, sababu tunawajua tumesoma nao tumekuwa nao!
 
Nenda kusini huko ambako 98% ni hao hao kisha rudi hapa, sababu tunawajua tumesoma nao tumekuwa nao!
Huu ujuaji wako na ubishi wako ndio ndinachosema kutokuwa na sifa y akuwa mke bora, wenzenu wanawake wa kiislamu wana unyenyekevu, upole na adabu na heshimu na pia wanajua kumtunza mume, haya ndio mambo amabayo wanaume wanayataka, wenzako wote wanaelewa hii concerns na naamini baadhi yao watakuwa wamejifunza, Mkaidi hafaidi mpaka siku ya Iddi
 
Kwa mtazamo wangu nadhani hii ndiyo sababu ya pekee zingine ni ziada . Nikuhusu TALAKA , kwa mwislamu talaka ni nje nje lkn kwa Mkristo ni very complicated. Mkristo ana uhakika 100% kuwa ni yeye peke yake milele na milele lakini upande wa mwislamu anahofu ya talaka kwanza na pili anahofu ya kuletewa mwenza . Hivyo kwa nini asiwe na mahaba?
 
Mademu wetu wakikristo wanachojua wao ni kukuita sijui honey, baby, kujidekeza na kukiss basi hawaendi extra mile kwa wenzao wakislamu alafu wakichitiwa wanaanza kulalamika. Kama unataka kuoa binti wa kislamu omba baba yake asiwe shehe
Uzuri hayo uneyaona kwa mama yako mzazi au dada yakoau shangazi huko Kuna experience nzuri na jitahidi Sasa wanao wakike wafungie ndani wake kuwa kama "hao" 😁😁😁
 
Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.

Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.
Kwahiyo mtume alikuwa anajua kuiminyia ndani? Maana hapa anahusikaje
 
Kwasababu ya kufatilia kwa ufasaha mafundisho ya Qur'an tukufu pamoja na sunna za mtume Muhammad S.A.W.

Quran imeweka bayana kua mwanamke siku zote atakua chini ya mwanaume. Ndoa yoyote ya mwanamke kua juu au kua sawa na mwanaume automatically upendo hupungua.
Kwa hiyo quran imeruhusu ukahaba? Uko wapi huo ufasaha unaopigia debe?
 
Shida wagalatia wenye mahaba moto moto wengi ni mapepe hawafai kuoa na wife material wengi ni makauzu kwa bed yaani mizani kubalance ni kipengele kingine kabisa.
 
Shida wagalatia wenye mahaba moto moto wengi ni mapepe hawafai kuoa na wife material wengi ni makauzu kwa bed yaani mizani kubalance ni kipengele kingine kabisa.
Mkuu naungana na wewe asilimia 💯
 
Back
Top Bottom