Mario Kempes
Member
- Jun 29, 2021
- 63
- 122
Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatembelewa kwa mpalange sanaYaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Buzz ni Bomba 🤔Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea
Khaa!! KwkweliSio kwamba wanawake wa siku hizi wana makalio makubwa La hasha! ninachokiona na nilichogundua ni kwamba
Mavazi ya siku hizi yanawashika sana dada na mama zetu,watu hawavai nguo za kuachia tena siku hzi hata mmama akienda kwa fundi kushona Wanamshonea nguo imemshika.
kitu kinachopelekea maumbile yao yaonekane yajichore ndio mana unaona kama wanawake wana makalio.
Japo wapo wanayoyaongezea kuptia taiti zao ila ukweli mkubwa upo ktk mavazi yao.
Umeshawahi jiuliza kwann wanaume hawana Makalio makubwa? si kweli wanaume hawana makalio makubwa, ukweli ni kwamba wanaume hatuvai nguo za kubana bana.
[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28] kwamba wale wa mlimani kilimanjaro wamefanya ikwesheni ibadilike mjini baada ya wao kupungua mwezi huuSio kwamba kuna kabila limeondoka dar ndio maana waliobaki unaona wote wana makalio makubwa?
Unajidanganya tu mkuu .. hayo matako tukiyavua nguo Yana mamichilizi sana , mengine ni makubwa na yanavutia , Ila wengi ni sabab ya kutembea uchi na kuvaa vimini , hii hufanya sis kuzingatia mambo yao Zaid , Ila hawajawazid chochote wanawake wa zaman na mama zetu Zaid ya kutuonesha mapaja tu, mama zetu ni warembo katika umri wao kuliko wao Sasa, dada zetu na wadogo zetu wa kike ni wazuri kuliko wao ambao wanajivunia urembo wa ngoz lain nyuma ya goti na mapaja ambayo inatufanya kuchanganyikiwa na tusizingatie nyuso zao na makeup zao Kama matope, hakuna maajab,Yaani leo nipo kkoo katika wanawake 10 unaopishana nao basi 7 wamefungasha na wana mizigo kweli. Nini siri ya mafanikio? English figure zinaanza kupotea