Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Hio ni tabia ya pesa bila kujali jinsia

Wapo wanaume na pesa zai watulivu sana
 
Mhh wewe
Uanaume ni pamoja na kuwa na hela
Ndoa inataka pesa asikudanganye mtu
 
Nani kakudanganya kuna umri usiokuwa na thamani kwa mwanamke?

Dida kila siku akipewa talaka anapata mume mpya na sasa ana mstahiki meya.

Wapo kina Anna Abdallah, Anne Kilango Malecela and likes.

Nadhani hatuelewani wacha nikuache.
 
Mhh wewe
Uanaume ni pamoja na kuwa na hela
Ndoa inataka pesa asikudanganye mtu
1-Pesa gan anatakiwa awe nayo mwanaume ndo imtoshe kua ndoani ?

Mkulima

Mwalimu

Daktari

Mbunge

Wazir

Mo Dewji


Niambie katika hawa , nani mwenye haki ya KUOA NA KUINGIA NDOANI???.


2- Wewe hapo ndoani, mumeo anapesa kiasi gan?? ( alikuzawadia Gari na laaina gani?? ?) kama bado, anangoja nn?? Umeacha kumpenda??

3-Kama hujaolewa, chunga mdomo, unaweza usiolewe....kwa sababu hamna mwanaume asiye na pesa.
 
Pata picha umemuoa ke kama cariha halafu kakuzidi kila kitu.
[emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimejilipua kwa cariha, napenda big brains kama yeye…. hajanizidi 'kila kitu' ila naamini katika challenges sio ushindani au utwana.
 
Wewe ni ke au me? Kama ni Me mtazamo wako ni upi?
 
Hii ni cheap and myopic conclusion. Ingekuwa hivyo, SSH angekuwa mtalaka.
 
Yaani wanaume hakuna kitu tunaogopa kama kuwa controlled simply because of your shuke, mali au/na madaraka ya mwanamke kwenye maisha...
 
Ss unapanic nini?

mwanaume ni provider
Unafikiri ndani tunakula nakupenda?

Kila mwanaume ana mwanamke wa 'level' yake...kila mtu anaweza kuoa ila uwepo wa kipato, hasa kwa mwanaume ni msingi wa ndoa kufanikiwa
 
That Nigga ni namba nyingine, jamaa ana wake watatu anawamega kwa zamu.

Huyo mtu kaa chonjo kabisa usimuingize kwenye mijadala hii, ile ni mashine nyingine.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nani kakudanganya kuna umri usiokuwa na thamani kwa mwanamke?

Dida kila siku akipewa talaka anapata mume mpya na sasa ana mstahiki meya.

Wapo kina Anna Abdallah, Anne Kilango Malecela and likes.

Nadhani hatuelewani wacha nikuache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha ubishi..hata wao wanawake wanajua ,thamani yao ni UMRI.


leo hii huwez kumsimamisha kigoli mwenye 23 yrs.. Na mdada wa miaka 36 ...

Alafu uulize muoaji chagua wakuoa...hata kama muoaji anamiaka 50, haraka haraka ataenda kwa Binti.



Ngoja nikuache maana nahisi wewe ni MUHA.



Aliyemuoa Dida, Umejua sababu zilizo nyima yakez pengine na yeye alishaoa na kuachana ndoa zaidi ya mbili.. Pengine ana watoto wakubwa nahataki tena kuzaaa, n.k, Pengine kwa utu uzima wake ,kaamua kutafuta mtu mzima mwenzie wazeeshane...




Kwa mfano kama wewe, hujawah kua ndoani, ndo sasa unataka kuoa, uanzishe familia yako... Ukaletewa Dida, ungemuoa????



Hata ivo tuwaachie wao na ndoa yao...itoshe kusema..THAMAN YA MWANAMKE IKO KATIKA REPRODUCTIVE AGE YAKE ( 18--35) , LINAPOKUJA SUALA LA NDOA TENA KTK HUO UMRI ANAYO HAKI YA KUFANYA MACHAGUZI, BAADA YA HAPO, ITABAKIA NI KUDRA TU..

Kwa ufupi, sio tu Mwanamke, hata wee mwanaume, una miaka zaidi ya 35 40 ,hujaoa, siunatatizo wewe ???.. Wewe ndo unafanya wanawake waonekane hawajaolewa, sababu HUTAKI KUOA.
 
Ss unapanic nini?

mwanaume ni provider
Unafikiri ndani tunakula nakupenda?

Kila mwanaume ana mwanamke wa 'level' yake...kila mtu anaweza kuoa ila uwepo wa kipato, hasa kwa mwanaume ni msingi wa ndoa kufanikiwa
Hamna aliyepanic..wewe jibu.

Na ndio maana nmekuambia, HAMNA MWANAUME ASIYE NA PESA.


mwanaume anapokutongoza, nakukuambia muoane, maana yake, hata wewe ni wa level hiyo, na ameona anakudumu

Hata ivo, ukiwa mwanamke pia, hupaswi kua mawazo mgando namna hiyo, utaburuzwa na wanaume sana sana, kwa sababu takuja wa 5M atakula...atakuja wa 6 M atakulaz atakuja wa 7...9..10...50..100. Wote watakula.


Umeolewa na Mwalimu. Muheshim ktk ualimu wake pambaneni .


Umeolewa na Mfanyabiashara, muheshim ktk hiko, pambaneni ,muweze kuyafikia maisha yale mnayoyataka.


Kukaa tu na kuamka, na kujipodoa , nakuvaa dela, alafu " Nataka mwanaume mwenye pesa zake "...[emoji23][emoji23]


Wewe rudi ufunzwe na Mama yako !!!
 
Hizi age restrictions hizi ndo huwa zinawatesa na maamuzi kwenye maisha

smtimes maisha hayana formula...
Alikuambia 40's hawazai ni nani?
 
Unajichanganya sijui umetumia nini leo

nilishangaa ulipoandika 'mwanaume hahitaji hela kwenye ndoa' hapo tu
Mengine sijui umetoa wapi
 
Hizi age restrictions hizi ndo huwa zinawatesa na maamuzi kwenye maisha

smtimes maisha hayana formula...
Alikuambia 40's hawazai ni nani?
Vipi kuhusu money restrictions???


Maisha hayana formula kwenye Age tu?????


Ila kwenye pesa, kipaumbele chako ni mwanaume mwenye pesa ???? Wewe are you serious???



Nani kakuambia ni rahisi kumkuta mwanaume mwenye 40 yrs hajaoa??


Mwanamke mpaka ufike 40 yrs, maana yake unahitaj mwanaume wa 38----45+...


Mwanaume gan utamkuta huo umri hajaoa ??? Kama hana matatizo[emoji23][emoji23]

Maana kama tayari anapesa ,Lazima atakua keshaoa,


Haya huyo hana pesa, Nawewe unataka wenye pesa, utamuumba????

Zaidi sana utasubiri, Mtalaka, Mgane, Asozalisha, N.k n.k !!.


Narudia Dear .huenda upo kwa age nzuri, USIICHEZEE . ... ACHANA NA MAHUSIANO YANAYOKUZIBIA NAFASI YA KUOLEWA.
 
Unajichanganya sijui umetumia nini leo

nilishangaa ulipoandika 'mwanaume hahitaji hela kwenye ndoa' hapo tu
Mengine sijui umetoa wapi
Una mapepo...wapi nmesema mwanaume hahitaji hela kwa ndoa ???


Mwanaume hupaswi kuogipa kuingia ndoan na mwanamke mwenye mafanikio et sababu tu wee una kipato kidogo nayeye anacho kikubwa.....hii ndio ilikua hoja yangu.
 
Heheh dahhh hili povu lako leo watu tutalal tumechoka sana..
Naona una agenda yako

nilikua na comment nyingine ila uko OP hatari na mengine
Haya bwana
 
Wapo wanawake wakipata finacial freedom tu kidogo.aisee utajuta kuwa jua sema itategemea malezi.aliyokulia, wanaomzunguka, hulka.yake na je umempata wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…