Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Dah,ngoja nitafakari kwa kina,then nichukue hatua...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unatafta makubwa wewe

Tulia wewe, unanibeza hapa ila unanikubali kwa ile ID nyingine….[emoji12] hayo makubwa kwangu ni mafanikio.
 
Ulaya kwenyewe huko mnapo wasifia nao kuko hivyo hivyo.

Ni wanawake wachache sana pamoja na mafanikio yao kiuchumi na kielimu, wanaijua nafasi yao ndani ya ndoa na familia.

Wengi wao vichomi waishia kuwa single mother na kuishi maisha ya upweke. Kutongozwa wanatongozwa na hawagopwi, ila ndani ya mahusiano mwanaume akiona kiburi na ujeuri wake anasepa, hapo tayari kishazalishwa na wanaume wapenda vitonga aka mario wanawapenda sababu wao wazee wa kila kitu "ndio mama".

Tuwalee mabinti zetu wazijue nafasi zao ndani ya ndoa na tuwafanye kuwa wanawake na mama bora ndani ya ndoa.
 
Msikilize huyu mama kuanzia dk ya 9 mpaka 13.
 
Msikilize huyu mama kuanzia dk ya 9 mpaka 13.
Sasa nini hapo cha Ajabu???


Keshakuambia Kua mwanamke kaumbwa Kua chini ya Mwanaume... Bila kujalisha mwanamke ana kazi gan, cheo gan, pesa gan....

Kaumbwa kua chini ya Mwanaume[emoji109][emoji109][emoji109]



Hili sindo mimi nawambie humu????.


Anatoa onyo. Kua wanawake wengine wakishapata pesa wanasahau nafasi za wanaume....?? Hapa ndo utetezi wenu umeegemea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ?????



Swali ni je, WANAWAKE WALIOHURU KIUCHUMI, WENYE KAZI N.K WANATAKIWA KUOLEWA NA AINA GAN YA WANAUME???.AU WASIOLEWE ??


kubadilika kwa mwanamke baada ya kupata pesa ndan ya ndoa, hii bado pia inabaki kua ni tabia ya mtu na mtu...

Nikm alivyo mwanaume, anatoka chini na mwanamke, akishapata maisha anaanza michepuko michepuko....



MWANAMKE ANAKUA VILE UNAVYOTAKA. Kama ulikua unamuishi kwa kumuumiza sababu hana kitu, siku akipata UTAMJUA TU...kama alikua ni rafiki, mpenzi mama na mke umpendaye, siku akipata HAWEZI BADILIKA

TABIA NI NGOZI.
 
Naona unapenda kubishana tufanye ww unajua kuliko Mama Urio anayefanya semina na wanawake wenzake.

We ongea ila sisi tunayaona haya na kila siku yanazidi kukua.
 
Hii ni kwa jinsia zote Me na Ke.
Mwanaume mwenye uchumi stable huwaa anajali familia ikiwa ni pamoja na watoto na mke,ila ni tofaut na mke,yy akiwa stable atajijali yy na watot ila mwanaume atadharauliwa..kiufup mwanamke ni mbinafsi kwa asili pale ambapo yupo vzur kiuchumi
 

Bro, hebu njoo inbox nikupe soda…
 
Ingekuwa hivyo hata wale Wanaume wanao achishwa Kazi, Ndoa zao zingedumu.
Ni wanawake wachache sana wanaohimili kuishi na mwanaume asiye na kipato.
 
Ingekuwa hivyo hata wale Wanaume wanao achishwa Kazi, Ndoa zao zingedumu.
Ni wanawake wachache sana wanaohimili kuishi na mwanaume asiye na kipato.
Wewe ukiachishwa kazi, utakaa nyuman asubuhi, mchana jion usiku??? .


Maana yake umeachishwa kazi ndio. Lkn amka asubuh kapambane, ukiendelea kumfanya aamini kila kitu kitakua sawa.


Sasa unalala, atakupa nn?? Atavaa nn?? Wewe endelea mapambano nakama ana akili atakushaur hata mpunguze mahitaj mwendane na mazingira.

Mwanamke kaumbwa Kupokea. Mwanaume kula kwa jasho... Mwanamke hata kama kakuzidi kipato kuna namna fulan anahitaji aione kwako kama mwanaume.
 
Naona unapenda kubishana tufanye ww unajua kuliko Mama Urio anayefanya semina na wanawake wenzake.

We ongea ila sisi tunayaona haya na kila siku yanazidi kukua.
Aahh sio kubishana, Umemsikiliza?? Namm nmemsikiliza. Sasa chambua, tuchambue mahojiano yake.

Ubishi tena utoke wapi? Wewe umeona wapi nmepingana naye??

Wewe ndio umeshindwa kutafasiri Maana yake.


Kufanya semina na wanawake wenzio ,hata Joyce kiria anafanya semina na wanawake wenzio na ni mwanaharakati.


Mantiki ni kile kinachozungumzwa. Sio kufanya semina.
 
Rapa Megan Thee Stallion anae tajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 6 kaongea jinsi anavyowapa wanaume wakati mgumu, “Nazidi kugundua jinsi wanaume walivyo wajinga, Unapokuwa mwanamke ambaye sio tishio kwao, wanaume hawakusumbui, wao wanataka mwanamke anae taka kuwategemea muda wote, hawapendi kumuona mwanamke huru, anae jipenda bila kuhitaji pesa za mwanaume, nahisi wanaume wanakuwa na wasiwasi na kuona sio sawa nikiwa karibu yao".
-
Nashukuru mpenzi wangu Pardison "Pardi" Fontaine ananipenda na Anajijua nilivyo, hajachukizwa na chochote ninachofanya, yuko nami ananipa furaha".
CC SamMisagoTV
 
Hujapingana na mimi bali umepingana na mama Urio mwenye jinsia yake ya kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…