Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Duuh
 
Kwelii kabisa an
 
Hahahaaha
 
Hujapingana na mimi bali umepingana na mama Urio mwenye jinsia yake ya kike.
Hajasema mwanamke kaumbwa kua Chini ya mwanaume ???.


Hajasema ,wanawake wengine wakishapata wanasahau nafasi ya mwanaume??.


Haya, nmepingana naye wapi???.


Unahisi wanawake wote ,wakipata maisha, wanabadilika??.


Ndio mwanamke awe wa kipato ,elimu, KAUMBWA KUA CHINI YA MWANAUME.


Na Ni Jukumu lako wewe mwanaume kuhakikisha, Huohuo Uanaume unakuwepo ndani ya Familia.
 
Sure
 
Bahati mbaya sana, wanaume mlio wengi hamjiamin linapokuja suala la mwanamke /mchumba/mpenzi mwenye uchumi kukuzidi.


YAAN BADALA YA KUJIKITA KWENYE NAFASI YAKO NA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKO..

Unageuka kua mdogoooo wakuhlalisha udhaifu wako, na kubakia kuhesabu na kuhamishia maudhaifu yako kwa mwanamke..

Utasikia..... " Sababu una hela kuliko mimi.,, sababu siku hizi nmepunguzwa mshahara ndio maana n.k n.k


Ifike mahali, Tubebe Madhaifu yetu, tuyatumie kama changamoto. Yatubadilishe, tutimize wajibu wetu basi.



Sasa wee hujadharauliwa, tayari umeshajidharau, yaan umeshaanza kujiona mdogoooooooo mbele ya Mkeo..nayeye akishajua hili linanitetemekea, Basi, anakupelekesha.


Na wengi wenu ,mkiona mke wako kafanikiwa zaidi, wengine mnaanza kujikombaa, kujinyekeza, kidogo tu, utasikia, acha baby ,pumzikaa, wacha niende, wacha nifanyee, Baby utakuta nmekupikia na maujinga kama hayoooo...KWANN USIDHARAULIKE,????



APANDISHWE CHEO, AWE NA UCHUMI MARA DUFU, MUACHE ATIMIZE MAJUKIMU YAKE YA KIFAMILIA KAMA KAWAIDA, NA ANAPOONEKANA KAANZA KUZEMBEA, KOROMA, NA AJUE KUA UMECHUKIA.
 
Ni sawa na mwanaume masikin, mwanaime masikin anaweza kua jeuri sana, muhuni anawanawake miaa.


Ila siku akiachwa na mpenzi wake anayempenda, utasikia

Huku kamasi zinamtoka

Sawa tuu Mariam, iiihiiii kisa sina pesa, ohoooooo sawa tuu, hiiii nitapataaa waaaahh hiiii ohoooo ipo siku yangu shiiii haaakweeeeeee uwiiiiiiiii dem anapenda pesaaaaa hiii


Ujinga mtupu... Mwanaume masikin anajifanya et yeye ndio ana mapenzi ya dhatiiiii..kwamba mwanaume mwenye pesa, hana mapenzi ya dhati.

Namm nawambia wanawake, ACHENI KUPOTEZA MUDA NA MAHUSIANO YA AINA HIYO.
 
Wachinje😂
 
Kweli nimekubali kiongozi inatubidi tubadilike
 
Nakupata Sana kiongozi umemfanya huu Uzi unone
 
Jamaa unasema ukweli mtupu ila nyumbu hawawezi kukuelewa kamwe, na Siku zote nyumbu huwa ni wengi mno
 
Yes ni kweli, nimependa hapo uliposema 'mwanaume wa kitanzania', ila mimi nipo tofauti kwenye hilo, pesa ni zake, mimi nahitaji upendo na kujenga familia, akizingua ni lazima achezee na pesa zake, pia bado anabaki kuwa mwanamke na mimi nabaki kuwa kichwa chenye akili. Nakubali kuwa wanaume wa kitanzania ni mbumbumbu(hawana akili), na hata wanawake wengi zaidi bado ni mbumbumbu pia. Mwanamke wa hivyo anatakiwa akutane na mwanaume mwenye akili(kama maandiko yasemavyo), hapo wataenda sawa. Ila akikutana na kilaza ndio mambo yaleee, mara ooh mwanamke ananinyanyasa, mara oooh hivi na hivi n.k.

Nawasilisha, naushauri uwe mtii pia na usishupaze shingo. Upo chini ya mumeo na hilo lipo wazi, kwani hata Mungu unayemuamini kakuagiza hivyo. Kwenda kinyume ni kujitafutia matatizo ambayo unayafahamu fika, hivyo sina haja ya kukueleza.

Ahsante!
 
Hapana bhana, wanaishi na wanaume wenye akili na wasio mbumbumbu.
 
Ukiona ndoa imemshinda ujue alipata mwanaume mbumbumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…