Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Rapa Megan Thee Stallion anae tajwa kuwa na utajiri wa dola milioni 6 kaongea jinsi anavyowapa wanaume wakati mgumu, “Nazidi kugundua jinsi wanaume walivyo wajinga, Unapokuwa mwanamke ambaye sio tishio kwao, wanaume hawakusumbui, wao wanataka mwanamke anae taka kuwategemea muda wote, hawapendi kumuona mwanamke huru, anae jipenda bila kuhitaji pesa za mwanaume, nahisi wanaume wanakuwa na wasiwasi na kuona sio sawa nikiwa karibu yao".
-
Nashukuru mpenzi wangu Pardison "Pardi" Fontaine ananipenda na Anajijua nilivyo, hajachukizwa na chochote ninachofanya, yuko nami ananipa furaha".
CC SamMisagoTV
Duuh
 
Kwelii kabisa an
M
Cjui kama naeleweka vzur,iko iv,mwanamke akishakuwa na kipato cha juu sanaa huwa kuolewa kwake ni ni kudra za Mwenyez Munguu..sasa chukulia ndo mwamke mwenye pesa afu anakimbizana na umri ..anakuwa na shauku sanaa ya kutaka kuolewa,kwa maana hyo hatoweza kumkataa mwanaume yyte atakaejitokezaa...kimbebe ni mwenda kuishi nae kweny hyo taasisi wanayoita ndoa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utataabika sana ukiwa mwenye mawazo haya.

Yaan km hauna uanume, hata km ulomuoa umemzidi kipato, hatokushirikisha, nayote uloyasema hatofanyaa ivoivo

Nachokioma kwako unataka hii..Mke nataka tufanye..hivi...mke ajibu Ndiooo

Mke nimelipia shamba..aseme hongera baba

Mke nme.....Ndioooo

Mke ivi....ndioo

Sasa hiyo ni ndoa au magumashi?...

NARUDIA KUKUAMBIA, UKIJUA KUMUISHI MWANAMKE, ATAKUSHIRIKISHA KILA KITU YAAN MPAKA UMBEYA WA MTAANI ATAKUSHIRIKISHA...HAWEZ KUKUFANYIA MATENDO YA AJABU ET KISA KAKUZIDI.

acha kutafuta Kua Baba ambaye hujulikana ni Mkoloni.
Hahahaaha
 
Hujapingana na mimi bali umepingana na mama Urio mwenye jinsia yake ya kike.
Hajasema mwanamke kaumbwa kua Chini ya mwanaume ???.

Hajasema ,wanawake wengine wakishapata wanasahau nafasi ya mwanaume??.

Haya, nmepingana naye wapi???.

Unahisi wanawake wote ,wakipata maisha, wanabadilika??.

Ndio mwanamke awe wa kipato ,elimu, KAUMBWA KUA CHINI YA MWANAUME.

Na Ni Jukumu lako wewe mwanaume kuhakikisha, Huohuo Uanaume unakuwepo ndani ya Familia.
 
Sure
 
Bahati mbaya sana, wanaume mlio wengi hamjiamin linapokuja suala la mwanamke /mchumba/mpenzi mwenye uchumi kukuzidi.

YAAN BADALA YA KUJIKITA KWENYE NAFASI YAKO NA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKO..

Unageuka kua mdogoooo wakuhlalisha udhaifu wako, na kubakia kuhesabu na kuhamishia maudhaifu yako kwa mwanamke..

Utasikia..... " Sababu una hela kuliko mimi.,, sababu siku hizi nmepunguzwa mshahara ndio maana n.k n.k

Ifike mahali, Tubebe Madhaifu yetu, tuyatumie kama changamoto. Yatubadilishe, tutimize wajibu wetu basi.

Sasa wee hujadharauliwa, tayari umeshajidharau, yaan umeshaanza kujiona mdogoooooooo mbele ya Mkeo..nayeye akishajua hili linanitetemekea, Basi, anakupelekesha.

Na wengi wenu ,mkiona mke wako kafanikiwa zaidi, wengine mnaanza kujikombaa, kujinyekeza, kidogo tu, utasikia, acha baby ,pumzikaa, wacha niende, wacha nifanyee, Baby utakuta nmekupikia na maujinga kama hayoooo...KWANN USIDHARAULIKE,????

APANDISHWE CHEO, AWE NA UCHUMI MARA DUFU, MUACHE ATIMIZE MAJUKIMU YAKE YA KIFAMILIA KAMA KAWAIDA, NA ANAPOONEKANA KAANZA KUZEMBEA, KOROMA, NA AJUE KUA UMECHUKIA.
 
Ni sawa na mwanaume masikin, mwanaime masikin anaweza kua jeuri sana, muhuni anawanawake miaa.

Ila siku akiachwa na mpenzi wake anayempenda, utasikia

Huku kamasi zinamtoka

Sawa tuu Mariam, iiihiiii kisa sina pesa, ohoooooo sawa tuu, hiiii nitapataaa waaaahh hiiii ohoooo ipo siku yangu shiiii haaakweeeeeee uwiiiiiiiii dem anapenda pesaaaaa hiii

Ujinga mtupu... Mwanaume masikin anajifanya et yeye ndio ana mapenzi ya dhatiiiii..kwamba mwanaume mwenye pesa, hana mapenzi ya dhati.

Namm nawambia wanawake, ACHENI KUPOTEZA MUDA NA MAHUSIANO YA AINA HIYO.
 
Wachinje😂
 
Kweli nimekubali kiongozi inatubidi tubadilike
Bahati mbaya sana, wanaume mlio wengi hamjiamin linapokuja suala la mwanamke /mchumba/mpenzi mwenye uchumi kukuzidi.

YAAN BADALA YA KUJIKITA KWENYE NAFASI YAKO NA KUTIMIZA MAJUKUMU YAKO..

Unageuka kua mdogoooo wakuhlalisha udhaifu wako, na kubakia kuhesabu na kuhamishia maudhaifu yako kwa mwanamke..

Utasikia..... " Sababu una hela kuliko mimi.,, sababu siku hizi nmepunguzwa mshahara ndio maana n.k n.k

Ifike mahali, Tubebe Madhaifu yetu, tuyatumie kama changamoto. Yatubadilishe, tutimize wajibu wetu basi.

Sasa wee hujadharauliwa, tayari umeshajidharau, yaan umeshaanza kujiona mdogoooooooo mbele ya Mkeo..nayeye akishajua hili linanitetemekea, Basi, anakupelekesha.

Na wengi wenu ,mkiona mke wako kafanikiwa zaidi, wengine mnaanza kujikombaa, kujinyekeza, kidogo tu, utasikia, acha baby ,pumzikaa, wacha niende, wacha nifanyee, Baby utakuta nmekupikia na maujinga kama hayoooo...KWANN USIDHARAULIKE,????

APANDISHWE CHEO, AWE NA UCHUMI MARA DUFU, MUACHE ATIMIZE MAJUKIMU YAKE YA KIFAMILIA KAMA KAWAIDA, NA ANAPOONEKANA KAANZA KUZEMBEA, KOROMA, NA AJUE KUA UMECHUKIA.
 
Broo, Hii Dunia ukiona mahali hapako sawa ujue Kuna wanaume wameshaharibu kitambooooo.

Kwan ma dizaina wa nguo hizi za uchi uchi ni akina nani?? .sisi wanaume.......lkn hapo kuna mwanaume atasema " mwanamke akivaa nguo hizi simuoi"

Kwan watengeneza Vipodozi vya kujichubua ni akina nani??..wanaume.....lkn hapo utasikia...Mwanamke aliyejichubua nimpeleke wapi???.

Lkn haya yote yanafanywa nao. Kujichubua, nguo za nusu uchi, kwajili yanan?? Kuwaridhisha wanaume.

Ikiwa wanaume wangesema Jaman wanawake vile mlivyo ndivo tunawapenda, unadhan wasingeolewa ??? Au leo wanaume tuamue, Kuanzia leo Wanawake wanaojichubua ndio wataolewa, unadhan kuna mwanamke atabaki nyuma???

Kwahiyo swali lako hilo la kwann hawaolewi..JIBU NI KUA, WAOAJI WENYEWE NDIO WAZENGUAJI...

unatongoza binti wa mtu, unamla zaidi ya miaka mitatu, umemtoa kwenye Age yenye thaman, mpaka umemleta kwenye age isokua thaman, umemtolesha mimba za kutoshaa

Kwann uhoji kuolewa kwake????
Nakupata Sana kiongozi umemfanya huu Uzi unone
 
Et wanawake..sema wewe ..nasio mwanamke ..sema mschana.

Siku hizi wanawake wenye akili wanapamba kua huru kiuchumi, na bado anaendelea kua Mwanamke bora .

Maujinga yenu ya Kutegemea kila kitu kwa wanaume, yamewafanya mpaka mnapigwa weee, mnafumania michepuko na mambo ya kijinga anayofanya mumeo..lkn kwakua Kuanzia kuvaa mpaka kula na kuishi unamtegemea Mumeo... Unamwomba msamaha mumeo kwa ujinga wake ...

SASA NAKUAMBIA, UKITAKA MWANAUME AKUHESHIM NA AKUONE SEHEM YA MAISHA YAKE, HAKIKISHA UNA KITU CHAKO MWENYEWE KAMA NI KAZI KUA NAYO.

Kama hauna hayo yotez hakikisha Upate mwanaume mwenye akili na akupende.
Jamaa unasema ukweli mtupu ila nyumbu hawawezi kukuelewa kamwe, na Siku zote nyumbu huwa ni wengi mno
 
Wanaume wengi Ni dhaifu na wana inferiority complex, wanapenda wanawake wanyonge wawatese Ili waonekane wao ni vidume wa shoka, wanaamini hivo, sasa mwanamke anayejitegemea mwenye shule wanaume wakitanzania Wana mwogopa ka kituo Cha police na kumwita jeuri
Yes ni kweli, nimependa hapo uliposema 'mwanaume wa kitanzania', ila mimi nipo tofauti kwenye hilo, pesa ni zake, mimi nahitaji upendo na kujenga familia, akizingua ni lazima achezee na pesa zake, pia bado anabaki kuwa mwanamke na mimi nabaki kuwa kichwa chenye akili. Nakubali kuwa wanaume wa kitanzania ni mbumbumbu(hawana akili), na hata wanawake wengi zaidi bado ni mbumbumbu pia. Mwanamke wa hivyo anatakiwa akutane na mwanaume mwenye akili(kama maandiko yasemavyo), hapo wataenda sawa. Ila akikutana na kilaza ndio mambo yaleee, mara ooh mwanamke ananinyanyasa, mara oooh hivi na hivi n.k.

Nawasilisha, naushauri uwe mtii pia na usishupaze shingo. Upo chini ya mumeo na hilo lipo wazi, kwani hata Mungu unayemuamini kakuagiza hivyo. Kwenda kinyume ni kujitafutia matatizo ambayo unayafahamu fika, hivyo sina haja ya kukueleza.

Ahsante!
 
Kiasili anaeolewa ni mwanamke, hivyo Mwanaume ndiye anayestahiki kuwa juu ya mke wake.

Hivyo mwanamke mwenye mafanikio hayuko tayari kuwa chini ya mwanaume anaemzidi elimu au mafanikio. Hapo lazima mahusiano yawe na mgongano.

Ndio maana wanawake wengi wenye mafanikio wanaishi wenyewe tu na watoto wao, ndoa huwa zinawashinda
Hapana bhana, wanaishi na wanaume wenye akili na wasio mbumbumbu.
 
Kiasili anaeolewa ni mwanamke, hivyo Mwanaume ndiye anayestahiki kuwa juu ya mke wake.

Hivyo mwanamke mwenye mafanikio hayuko tayari kuwa chini ya mwanaume anaemzidi elimu au mafanikio. Hapo lazima mahusiano yawe na mgongano.

Ndio maana wanawake wengi wenye mafanikio wanaishi wenyewe tu na watoto wao, ndoa huwa zinawashinda
Ukiona ndoa imemshinda ujue alipata mwanaume mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom