professional Driver
JF-Expert Member
- Sep 23, 2022
- 2,959
- 3,510
Anae ita hivyo ni wewe usimpakazie mtu mwingineZombie atakuwa yule aliyebaki kaburini ambaye hakushinda kifo, ambaye anaita kaburini ni mahala patakatifu.
Kumbe unaamini kwamba Yesu atawafufua wote pamoja na mtume wa mnyaazi ambaye bado yupo kaburini....basi hapo tunaenda sawa.Hujajibu swali siku ya mwisho kila mtu atafufuka acha kua kilaza
Nakuuliza tena kwa kuchelewa kwenu kuzika ndugu yenu gani kafufuka?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa kule kusuburi afufuke mtamuwahishaje?Kwa kule kumkafini mtamcheleweshaje?
Usiruke ruke kama chura hapa hawa wako kanisani wanafanya ibada ya ndoa ya jinsia mojaWale walioleta dini ya mnyaazi waliruhusu hayo mambo ndo maana yametamalaki sana huu ukanda wa mwambao.
Uyo Yesu nae anataka msaada [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe unaamini kwamba Yesu atawafufua wote pamoja na mtume wa mnyaazi ambaye bado yupo kaburini....basi hapo tunaenda sawa.
Hawapendi uliongelee hili maana hata kwao lina ukakasi, mtu aliyekufa unamkamua vipi kinyesi.Kwa kule kumkafini mtamcheleweshaje?
Uliza swali vizuri wewe ndio umeongea nini hapo?Kwa kule kumkafini mtamcheleweshaje?
Ebu lete ushahidi hapa acha uzwazwaHawapendi uliongelee hili maana hata kwao lina ukakasi, mtu aliyekufa unamkamua vipi kinyesi.
Kwahiyo kusuburi kote wiki nzima kumbe kazi yote ni bure tu mwisho mnamzika pia? HahahaKama Yesu hajatokea kama ilivyokuwa kwa Lazaro, tutaenda kumzika tukibaki na imani yetu ya kwamba atamfufua wakati utakapowadia, hii ndiyo imani tunayoiishi.
Hata Lazaro hatimaye alizikwa, lakini Yesu alipofika alimfufua kutoka huko kaburini.Kwahiyo kusuburi kote wiki nzima kumbe kazi yote ni bure tu mwisho mnamzika pia? Hahaha
Hilo ni kanisa lao waliolianzisha wao, siyo la Kristo.Usiruke ruke kama chura hapa hawa wako kanisani wanafanya ibada ya ndoa ya jinsia mojaView attachment 2521674
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kwahio mtu umemeweka kwenye sanduku umefunga kabisa unadhani hatakama emezimia atazinduka?umeenda shule kweli lafkiyangu?π π πNa kwa nini kuchelewa kuzika isiwe busara, vipi kama huyo mtu kazimia..........huoni kuchelewa ndo busara zaidi?
Kifupi ni kanisa nimemaliza hapo.Hilo ni kanisa lao waliolianzisha wao, siyo la Kristo.
Huyu sio Mungu tena amekuwa mtume au?sababu Mtume wetu Yesu Kristo alishinda kifo na hata leo anaishi,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wewe babu yako akafufukaHata Lazaro hatimaye alizikwa, lakini Yesu alipofika alimfufua kutoka huko kaburini.
Siyo swala la shule ni swala la imani, ndo maana huwezi kuamini kwamba Yesu alifufuka baada ya siku tatu, na huwezi kuamini kwamba Yesu alimfufua Lazaro ambaye mwili wake ulishaharibika na kuzikwa.kwahio mtu umemeweka kwenye sanduku umefunga kabisa unadhani hatakama emezimia atazinduka?umeenda shule kweli lafkiyangu?π π π
Acha uzumbukuku hakuna atakae fufuka kwa kigezo cha kucheleweshwa kuzikwa kumbe mnachelewesha kwa kutegemea maiti ifufukie mochwari?Hata Lazaro hatimaye alizikwa, lakini Yesu alipofika alimfufua kutoka huko kaburini.
Ni mkuu wa mitume, ni mkuu wa manabii, ni mkuu wa makuhani, ni binadamu kweli na ni Mungu kweli.Huyu sio Mungu tena amekuwa mtume au?
kwataarifa tuu nikuwa yesu hakufa.lazima arudi tena kukionja kifo.Siyo swala la shule ni swala la imani, ndo maana huwezi kuamini kwamba Yesu alifufuka baada ya siku tatu, na huwezi kuamini kwamba Yesu alimfufua Lazaro ambaye mwili wake ulishaharibika na kuzikwa.
ππππππdah hawa jamaa michosho kweliHoja iko hivi alifufuka akiwa wapi?
Je nyie mnapo endelea kuamini kitu ambacho kwa sasa hakiwezi kutokea huoni kama ni ujinga?
Kwanini msizike ili afufuke akiwa kaburini kama alivyo fufuka yesu na razalo?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app