wewe unajua mtu alio kufa zaidi ya wengine? mtu akisha kufa chake ni sanda tu na kufukiwa hii tabia ya kuweka mzogo kwenye jokofu mbona imeaza juzi zamani wakizika mapema tuNa kwa nini kuchelewa kuzika isiwe busara, vipi kama huyo mtu kazimia..........huoni kuchelewa ndo busara zaidi?
tatizo la baadhi ya wakirito wa bongo ni washamba heti kuwai kuzika ni mila za kiarabu sababu kwao majokofu haya kuwepo wakiwai kuzika kuofia joto,swali hapa bogo majokofu yamekuwepo tangu lini?huyu anae jivunia majokofu bubu yake kafa kawishwa kuzikwa ushamba ni kipaji cha wakiristoHapa unalazimisha mafungamano baina ya Uislamu na mila na dasturi za waarabu.
Kitu ambacho hakipo.
Sasa hata kama kunamajokofu kuna faida gani ya kukaa na maiti ndani? and what difference does it make, kumzika marehemu mapema au kumchelewesha? Ilhali ameshakufa
msahau kwao mtumwa kabla ya kuja majokofu na magali ya kusafirisha na madakitari ndio kusema babu zetu walizikwa wakiwa hai? wakirito muwache ushamba na ulimbukeniHapana kifo kinafahamika na kina ishara zote za kidaktar na hata kienyeji
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umesahau kukamua maana inacheleweshamaiti inatakiwa ifanyiwe mambo 4 bila kuchelewa kwa waislam:
1. kuoshwa,
2. kuvikwa sanda,
3. kuswaliwa,
4. kuzikwa.
We punguani hayo uliyo tajiwa ndio yanajulikanaUmesahau kukamua maana inachelewesha
Kwani mkamui ? Unabisha nini sasa.We punguani hayo uliyo tajiwa ndio yanajulikana
Mmezoea kuendeleza uchizi mtaelimika tu
Pumbavu nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sharti hilo kalieka baba yako mnaropoka sanaKwani mkamui ? Unabisha nini sasa.
Mfano Sharti la kuzaa ufanyeje
Mama yako akitaka kuzaa sharti afanyejeSharti hilo kalieka baba yako mnaropoka sana
Mimi kila siku nitaendelea kuwaambia wakristo ndio wapumbavu namba moja duniani
Elimu umepewa hapo unalazimisha unayo yajua wewe yani ili mradi muoneshe upumbavu wenu
Ndio maana waisraeli hawawatambui kuku nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ona ulivyo mwehu sijuiMama yako akitaka kuzaa sharti afanyeje
Kwani kwenye taratibu za kusafisha mwili si anatakiwa kuwa msafi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ona ulivyo mwehu sijui
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nieleze nini huna akili nakustua.Kwani kwenye taratibu za kusafisha mwili si anatakiwa kuwa msafi.
Embu eleza ili la usafi nalo si linausika kwa nini utumie ukali
kuna haja gani kuvalisha maiti suti, moka na pen! utasema inaenda ofisini... Ikiwa inaenda mavumbini?kuna faida gan kumkamua maiti inaogopwa ataenda kunyea mwanandan? [emoji848]
Swali la kijinga.kuna faida gan kumkamua maiti inaogopwa ataenda kunyea mwanandan? [emoji848]
Ilimradi tu wapate justification ya kile wanachokitaka wao.tatizo la baadhi ya wakirito wa bongo ni washamba heti kuwai kuzika ni mila za kiarabu sababu kwao majokofu haya kuwepo wakiwai kuzika kuofia joto,swali hapa bogo majokofu yamekuwepo tangu lini?huyu anae jivunia majokofu bubu yake kafa kawishwa kuzikwa ushamba ni kipaji cha wakiristo
Yesu alikufa lini??Hiyo ya joto wanaongopa Yesu baada ya kufa kakaa siku ngapi ndio akazikwa
Hao ni wakurupukaji tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tuwekee visa hata viwili ulivyokutana navyo vya watu kuzinduka Mochwari.Wale ambao wameenda kuzinduka mochwari kwani doctor alikuwa haja prove..........sioni haja ya kukimbizana kwenda kuzika, muda wa kutosha utolewe kufanya maandalizi yote muhimu na hata kuwasubiri ndugu wengine.
Wao watamfufua au?? Mbona halina umuhimu hilo?Kuna kusubiri ndugu na watu wengine muhimu wakiwemo watoto, mke na ndugu wengine ambao inaweza kuwachukua muda kufika kutokana na umbali, hili wewe huoni ni la muhimu?