Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

Mtoa mada unawajua wamasai?
Unawafahamu wasukuma?
Vp kuhusu wagogo?
Tuje kwa wahaya?
Usiwasahau waha?
Ushawahi kukutana na wakurya?

Kaa kwa kutulia kwa kifupi mkikutana mnakifahamu vizuri cha nyumbani lazima mkionje kidogo kama wewe huna ujualo tuliza boli
 
Aanyeghewa uyu uko kwe mbweshuna akunda azaghwe
 
Mtoa mada hajakutana na hayo makabila bila shaka. Mfano Wasukuma na Wamasai, ni too much!

Usiombee ukae nao siti moja, halafu mwenzao mwingine akae siti nyingine! Hizo kelele zao, utatamani kushuka kwenye gari.
 
Kuna jamaa mmoja juz alianzisha uzi kwamba hiyo ni dalili mojawapo ya ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…