Kwanini wasambaa wanapenda sana kuongea kilugha hata mjini?

Kumbe ww msambaa!!?? Ndio maana,
Nyie kabila lenu washamba sana,
Na Wasukuma nao watakuwaje sasa kama kabila la wajanja kama Wasambaa, unawaita washamba!!

Hakuna msambaa mshamba aisee!!
 
Hujafika Kitunda Ukonga Daressalaam!
Huku Wakurya wanamuongelesha kikurya kila wanaekutana naye! ni kama tuko Tarime tu!!😂😂
 
Yadahikana uyu mbwanga ni mnyika mweikaa na kughoshoa ndima uku kwetu koongoi! Ushe akitiona tashimwea kishambaa, ataingiwa ni wizu!

Hangi ana mbina ani uyu! Ningeiteia akweikaa, ningembasha nakio ili nimloghe!
Nghambe uyu mntu, akii zaita kwawe[emoji1787]
 
Mmedhihirisha mlivyo, najua mmenitukana, mana mmefanya huu uzi muongee ki oshie chenu
 
Mmedhihirisha mlivyo, najua mmenitukana, mana mmefanya huu uzi muongee ki oshie chenu
Hatuna hizo tabia ila post yako imetufanya tukutane na kujuana... Asante sana... Kwa kisambaa tinasema HONGEA SANA[emoji818][emoji1752]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…