Kwanini wasanii wa kiislam huwa hawaweki masheikh kwenye maudhui yao?

Kwanza Usialamu unakataza mziki kuwa ni haramu,yaani kiufupi tu ikitokea hata yule mwenye kutunza funguo ya msikiti umwambie muigizie msikitini hawezi kubali ujinga huo,Kitu unavyokiheshimisha ndivyo kinavyopata thamani yake
Zile Qaswida mnazoimba ni nini, kama siyo mziki? Unafiki tu na chokochoko ndiyo inawasumbua sana nyinyi viumbe.

Halafu inakuwaje mnapokea misaada kutoka kwa hao waislam wenzenu wanaoimba mziki wa dunia? Tena wengine wamechachia mpaka fedha za ujenzi wa hiyo misikiti yenu!
 
Siku zote mwanadamu aliyesoma na kuelimika, hufanya maamuzi yake kwa kutumia akili! Ila yule bumunda ambaye hajaelimika, ndiyo hukimbilia kwenye matumizi ya nguvu, kama silaha yake kuu.

Bila shaka umenielewa.
usiandike mafumbo mkuu.au wee mwimba taarabu kiongozi.unaundugu namzee yusufu? nyooka Kama lula acha taarabu zakike.
 
Asijaribu hata kidogo. Nasisitiza asijaribu. Nyumba yake na yeye mwenyewe tutamchoma moto. Afanye huko huko...huku asijaribu hata.
 
usasema qaswida.nani kachangia msikiti?
 
Sisi tunasubiri kusamehe 7 x 70, imagine hadi yafike makosa 490 ni leo hiyo?

Kweli Mungu ni Pendo!🙏🙏
 
usiandike mafumbo mkuu.au wee mwimba taarabu kiongozi.unaundugu namzee yusufu? nyooka Kama lula acha taarabu zakike.
Kama umeshaelewa wewe, inatosha. Kiufupi kuna tofauti kubwa sana kati ya Elimu Dunia, dhidi ya hiyo Elimu yenu.

Wenye elimu dunia, hufanya maamuzi yao kwa hekima, huku wenzangu na mimi mkitanguliza mihemko kwenye kufanya maamuzi yenu.
 
Qaswida sio muziki?
Sio Qaswida tuu, Adhana ni muziki ambao ni unison, hata wakati wa swala zile Aya zote wanaimba. Nina uwezo wa kuzichora nota zake ambao melody ya kuzitamka Aya izo wakati wa ibada inafanana na ile ya kilatini kilichokuwa kinatumika kwenye ibada za kikristu zamani ( Gregorian chant)

Yaani wao ndio wanategemea kuimba kuliko dini yoyote. Hata kikariri kwao vifungu vya Quran huko madrasa ni kwa njia ya kuimba. Labda hawajui nini maana ya kuimba, wimbo, melody nk, waliosoma muziki miongoni mwao hawawezi kusema hilo
 
Kama umeshaelewa wewe, inatosha. Kiufupi kuna tofauti kubwa sana kati ya Elimu Dunia, dhidi ya hiyo Elimu yenu.

Wenye elimu dunia, hufanya maamuzi yao kwa hekima, huku wenzangu na mimi mkitanguliza mihemko kwenye kufanya maamuzi yenu.
acha taarabu. kashabikie utopolo huko hujui kitu.
 
Labda ana definition yake ya muziki ambayo hatuijui
 
usasema qaswida.nani kachangia msikiti?
Kwa hiyo Qaswida ni nini? Siyo mziki eeeh!! Ok.

Na huwafahamu kabisa wanamuziki wenu wa kiislam wanaochangia ujenzi wa misikiti ya kuswali nyinyi wazee wa swala 5!! Ok. Fanya uchunguzi wako, halafu uje unipe mrejesho.
 
ok.ok.nini weebabu utoporo kavute sigara ulale hukokwenu saizi niusiku.
 
unakichaa kachukue dawa.
 
Angeweka ustaadhi muda huu nyumba yake ingeshachomwa moto. Wakirsto wastaarabu sana. Ila ustaarab ukizidi unakuwa ukondoo. Haiwezekani mpaka muda huu makanisa hayajatoa tamko
ukiona kanisa limekujibu ujue limekuheshimu sana.
 
Wakiigizia huko watachinjwa ndugu. Wakristo wana uvumilivu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…