Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Zile Qaswida mnazoimba ni nini, kama siyo mziki? Unafiki tu na chokochoko ndiyo inawasumbua sana nyinyi viumbe.Kwanza Usialamu unakataza mziki kuwa ni haramu,yaani kiufupi tu ikitokea hata yule mwenye kutunza funguo ya msikiti umwambie muigizie msikitini hawezi kubali ujinga huo,Kitu unavyokiheshimisha ndivyo kinavyopata thamani yake
Halafu inakuwaje mnapokea misaada kutoka kwa hao waislam wenzenu wanaoimba mziki wa dunia? Tena wengine wamechachia mpaka fedha za ujenzi wa hiyo misikiti yenu!