Kwanini Wastaafu wote wanaopigwa kwenye mikopo umiza ni waalimu tu?

rigi....ukarudia tena rigi. Ulitaka kuandika kitu gani?
 
Kweli hilo halina ubishi! Nasiwalimu wte kwamba wananjaa natabia za ajabu hapana!
Nibaadhi tu wachache wanaohalibu heshima ya sekta hii muhimu Duniani.
Tunajitahidi kukurekebisha juu ya uandishi wako kwanini hujifunzi? Zingatia nafasi ya neno na neno, Jitahidi kutumia Alama za uandishi vizuri, Jitahidi kujua matumizi ya r, na l katika uandishi. Uliishia kiwango gani Cha elimu ndugu?
 
Utoto raha sana! Dogo unafahamu take home ya mwalimu mwenye TGTS Kuanzia G, H na I?

Usisahau Jamii Forums ni zaidi ya vile unavyoifahamu. Hivyo acha utoto na upotoshaji kama huyo mtoa mada mwenzako.
JF Kumejaa Vitoto vya mwaka 1998+

Usitumie energy kubwa sana kubishana navyo.

Walimu akili Nukta, ndio maana kila anayejisikia anapiga tu:

CWT Wanapiga.

Banks/Microfinance Zinapiga

Wakurugenzi Wanapiga

Michango Ya Mwenge
 
Unamaanisha kanahesabu finyango kwenye chungu
 
JF Kumejaa Vitoto vya mwaka 1998+

Usitumie energy kubwa sana kubishana navyo.

Walimu akili Nukta, ndio maana kila anayejisikia anapiga tu:

CWT Wanapiga.

Banks/Microfinance Zinapiga

Wakurugenzi Wanapiga

Michango Ya Mwenge
Mimi huo mchango wa mwenge nishasema atakaye kuja kuufata kwangu tutagawana majengo ya serikali. Mpaka wa leo sinaona mutu fudenge inakuja kunidai. Wanatoaga wengine mimi sitoi na nawachana live
 
Sio walimu tu ila ujur kuwa walimu ndio kundi kubwa la watumishi so huonekana kwa urahisi ila ki ukweli kila mti hupigwaa
 
Mimi huo mchango wa mwenge nishasema atakaye kuja kuufata kwangu tutagawana majengo ya serikali. Mpaka wa leo sinaona mutu fudenge inakuja kunidai. Wanatoaga wengine mimi sitoi na nawachana live
🤣🤣🤣🤣☝️ nyie watu mnachekesha kweli.
 
Tunajitahidi kukurekebisha juu ya uandishi wako kwanini hujifunzi? Zingatia nafasi ya neno na neno, Jitahidi kutumia Alama za uandishi vizuri, Jitahidi kujua matumizi ya r, na l katika uandishi. Uliishia kiwango gani Cha elimu ndugu?

Niafadhari mimi mkulima ambae sihangaiki kuwazia watoto wangu watakula nini.
Kuliko ww mwl. wa Div4 unaepigwa kuanzia mikopo umiza na vijana ambao tuliishia darasa la ngubalu.

Ila wapigaji wanatugwaya.

Siku hizi ukitaka pesa ya haraka wewe Fungua kanisa harafu uwe na walimu kanisani MWAKO hata WATANO . Kisha wape kuwa wasaidizi wa baba mchungaji! Aaah hapo mzee nikupandisha volumes za sauti na kushusha michango kede kede.

No2. Fungua ofisi ya mkopo wa haraka harafu tembelea shule upate walimu hata wawili! Ujue wataletana tu.

No3. Anza kuuza vyombo kv masifuria 🤣🤣na hotport tembelea shuleni kukopesha aah utavuna

No4. Fungua baa nzuri weka watoto warembo wavalishe vichupi! Aah walimu lazima waweke ATM card kwenye mikopo umiza.

No5. Mikopo ya magari madogo! Hapo napo utakula salary za walimu kwa miaka10 hadi 20.

Tunawaambia mbadilike kwa sababu tunawapenda. Tunawasamini
 

Jibu hoja mzee wa miandiko.
 
Acha uongo hakuna Mwal anayepokea 1 million hapa Tz kutoka serikalini.
Wapo Tena wengi acha ubishi, mm Nina ushuhuda mzee wangu kastaafu mwaka juzi Hadi anastaafu mshahara wake ulikua milion1 na laki2 per month
 
Kuna washamba wengi nchi hii, hivi hamjui kuwa kuna walimu wa vyuo vikuu na wana matokeo yaliyonyooka. Hivi hamfahamu walimu wanalipwa hadi 2M. Msifikiri kila mwalimu ni form four faliure au form six faliure.
Mkuu wale wa chuo kikuu wanaitwa wahadhiri kwa kibantu kimalikia wanaitwa lecturers,hawa wanaozungumziwa humu ni wale wanaoitwa Teachers,hawa ndo qualifications zao ni D DDD then F FFFFFFFF
 
Duhhh kuna jinga linabishia ukweli wa basic salary ya million mbili mbona ni kitu cha kawaida hicho kwa mwalimu wa primary mwenye daraja F
Hao ni wale waliobakiza mwaka kabla ya kustafu
 
Mkuu wale wa chuo kikuu wanaitwa wahadhiri kwa kibantu kimalikia wanaitwa lecturers,hawa wanaozungumzia humu ni wale wanaoitwa Teachers,hawa ndo qualifications zao ni D DDD then F FFFFFFFF
🤣🤣🤣🤣🤣

Fact.
 

Mzee wa kuchunguza l na r naona hii ☝️☝️ imekuwa ngumu kumeza.

Nataka aniambie yy yupo namba ngapi hapo.
 
Mwalimu aliyekufunza kuandika akamatwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…