Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 789
- 2,613
Key Benefits of Cooked GarlicHii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini?
Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea?
Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
Mkuu upo kama mimiHii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini?
Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea?
Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
Kama una pressure yakushuka hushauriwi kula garlic, kwa ulaji wako huo hakikisha jnakunywa maji mengi sana angalau tumia punje 3 unatumia kiwango kikubwa sana ukitaka kujua ukali wake twanga punje moja upake kwenye eneo utaona kinaunguza kabisa ngozi hivyo ni kizuri kwa utaratibu ila hata mwenzie kitunguu maji wana maajabu katika miili yetuHii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini?
Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea?
Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
Nijuze mtaalamu huyu kitunguu maji ana maajabu gani huyu na unamtumiajeKama una pressure yakushuka hushauriwi kula garlic, kwa ulaji wako huo hakikisha jnakunywa maji mengi sana angalau tumia punje 3 unatumia kiwango kikubwa sana ukitaka kujua ukali wake twanga punje moja upake kwenye eneo utaona kinaunguza kabisa ngozi hivyo ni kizuri kwa utaratibu ila hata mwenzie kitunguu maji wana maajabu katika miili yetu
Kitunguu maji ni nzuri kinaongeza kinga ya mwili nakuondoa sumu mwilini kuna njia nyingi kukitumia kibichi au kilichopikwa. Kwa elimu zaidi mfatilie #abubakari sadiki pale Tik talk .UtanishkuruNijuze mtaalamu huyu kitunguu maji ana maajabu gani huyu na unamtumiaje
Uliambiwa kinatibu nini? Maana sio kwa mtafuno huoHii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini?
Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea?
Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
Hukwangua utando laini wa tumboNijuze mtaalamu huyu kitunguu maji ana maajabu gani huyu na unamtumiaje
Inafanya damu kuwa nyepesi,inaepusha kuganda,damu kuganda huleta strokeUliambiwa kinatibu nini? Maana sio kwa mtafuno huo
Unasema kusimamisha?…Inafanya damu kuwa nyepesi,inaepusha kuganda,damu kuganda huleta stroke
Inaua wadudu tumboni hadi minyoo,ukila mara ya kwanza utaona kwenye tundu dogo kuna mtekenyo,minyoo,germs zinaeskep
Damu ikiwa nyepesi hufika sehemu nyingi,hivyo husaidia kusimamisha uume
Ndiyo sheikh,tena ukiongeza na mazoezi ya kegel basi mambo safiUnasema kusimamisha?…
Takbir,zikipungua nguvu naanza kutumia swaumuNdiyo sheikh,tena ukiongeza na mazoezi ya kegel basi mambo safi
Kinatibu vitu vingi sana pia nikivitafunaga huwa napeleka moto balaaUliambiwa kinatibu nini? Maana sio kwa mtafuno huo
Usisubiri mpaka zipungue😆Takbir,zikipungua nguvu naanza kutumia swaumu
Hivi nikitafuna 10 kwa siku si fresh?Ndiyo sheikh,tena ukiongeza na mazoezi ya kegel basi mambo safi
Endelea kutafuna hicho ndio chakula pekee kinachopendwa na misuli ya ubongo, ukila cha kwanza kabisa kinaenda kuitanua misuli ya ubongoNahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea?