Ukishaviacha hizo dakika 10 au 15 baada ya kuvikatakata wakati wa kuvila inatakiwa utafune au uvimeze tu sababu vimesha katwa katwa?Ni Bora zaidi ukivipondaponda au katakata na kuviacha vikae dk kumi mpaka kumi na tano,kuna unyama unatokea hapo ambao ni Bora zaidi
Digestion yako ina shida mkuu
Kwa nini?Biblia
Mungu aliwakataza wana wa israel wasile vitunguu vibichi, unajua kwa nini?
Meza tuUkishaviacha hizo dakika 10 au 15 baada ya kuvikatakata wakati wa kuvila inatakiwa utafune au uvimeze tu sababu vimesha katwa katwa?
Kwa sababu vinakupotezea spiritual clarity. Ulaji wa vitunguu vibichi au zaidi ya kipimo kunanakumaliza nguvu zako za kuonaKwa nini?
IndeedAnything too much is harmful hata dawa zina vipimo
Kitabu gani hicho mkuuBiblia
Mungu aliwakataza wana wa israel wasile vitunguu vibichi, unajua kwa nini?
Duh hata mimi nimeshaanza tayari till now ni kama miezi 7 sijagusa nyama.Kwa sababu vinakupotezea spiritual clarity. Ulaji wa vitunguu vibichi au zaidi ya kipimo kunanakumaliza nguvu zako za kuona
Pia kuna aina nyingi hata nyama ipo. Ndio maana vegeterians wanakuwa na nguvu za ziada
Natamani siku moja niweze kuacha kula nyama
Nasoma vitabu vingi , hii ilikuwa Hesabu 11:5 Waisraeli walipokuwa jangwani, waliwakumbuka vyakula walivyokuwa wakila Misri:Kitabu gani hicho mkuu
Mimi ni moja ya watu ambao wanaamini mystism kwenye Biblia, kwamba kila unalosoma lina maaza zaidi au maana iliyofumbwaDuh hata mimi nimeshaanza tayari till now ni kama miezi 7 sijagusa nyama.
Ok! mkuu tafatilia nilikuwa kule jamii health.Nasoma vitabu vingi , hii ilikuwa Hesabu 11:5 Waisraeli walipokuwa jangwani, waliwakumbuka vyakula walivyokuwa wakila Misri:
“Tunakumbuka samaki tuliokula huko Misri bure; matango, na matikiti, na mboga, na vitunguu, na saumu.”
Ukisoma Rabbis commentary na maandiko ya kiyahudi ambayo nilishayaweka humu utaona vyakula mbalimbali ambavyo Wayahudi walikatazwa ikiwemo nguruwe;
viumbe wa majini wasio na mapezi na magamba; damu; nyama na maziwa kwa pamoja
Kama cheese burger wayahudi hawali kabisa
Soma Sefaria. Maandiko ya Biblia na Mengine mengi ya kiyahudi yako humu
![]()
Numbers 11:5 | Sefaria Library
We remember the fish that we used to eat free in Egypt, the cucumbers, the melons, the leeks, the onions, and the garlic....www.sefaria.org
Nimekujibu swali lako?
Duh mkuu itanibidi niongeze kasi ya kusoma huenda nikagundua mengi... na hata bible inasema tunaangamia kwa kukosa maarifa.Mimi ni moja ya watu ambao wanaamini mystism kwenye Biblia, kwamba kila unalosoma lina maaza zaidi au maana iliyofumbwa
Waandishi wa mwanzo kabisa waliandika kukusudia watu waliolemgwa pekee.
Ukisoma neno kama ilivyo andikwa kama wakristu wengi yumavyosoma utaishia kuelewa juu juu
Nakuhakikishia walichoamini wakristu wa mwanzo na sisi nintofauti kabisa
Na spirituality is a journey chukua mda wako kusoma maandiko ya wayahudi ya mwanzo kabisa.
Ila Jambo moja unatakiwa utafakari kwa kina, ushawahi waza kwa nini Ukristu ulipaoshwa na Roma na si wayahudi husika. Na kwa nini mpaka leo hawakuamini katika Yesu?
Ikiwa Yesu ministry ililuwa ni kubwa sana, ikawa na mapokeo madogo uyahudini ambako alifanya miujiza?
Huwa nawaza sana hili?
Hivi ni sahihi nikivuta bangi alafu nianze kusoma bible ili niitafakari kwa kina?Mimi ni moja ya watu ambao wanaamini mystism kwenye Biblia, kwamba kila unalosoma lina maaza zaidi au maana iliyofumbwa
Waandishi wa mwanzo kabisa waliandika kukusudia watu waliolemgwa pekee.
Ukisoma neno kama ilivyo andikwa kama wakristu wengi yumavyosoma utaishia kuelewa juu juu
Nakuhakikishia walichoamini wakristu wa mwanzo na sisi nintofauti kabisa
Na spirituality is a journey chukua mda wako kusoma maandiko ya wayahudi ya mwanzo kabisa.
Ila Jambo moja unatakiwa utafakari kwa kina, ushawahi waza kwa nini Ukristu ulipaoshwa na Roma na si wayahudi husika. Na kwa nini mpaka leo hawakuamini katika Yesu?
Ikiwa Yesu ministry ililuwa ni kubwa sana, ikawa na mapokeo madogo uyahudini ambako alifanya miujiza?
Huwa nawaza sana hili?
Haha najuaje hili?Hivi ni sahihi nikivuta bangi alafu nianze kusoma bible ili niitafakari kwa kina?